Omarion Akiri Kujisikia Fahari Kuimba Kiswahili

By Ghafla Tanzania, 5w ago

Mwanamuziki wa RnB kutoka Marekani, Omarion amefunguka na kukiri kuwa amejisikia fahari kuimba kwa lugha ya Kiswahili kwenye wimbo wa african Beauty. Diamond amemshirikisha Omarion kwenye wimbo wake mpya wa African beauty unaopatikana kwenye Album yake ya 'A boy From Tandale'. Omarion amefunguka kuhusu kuimba wimbo huo kwa lugha ya kiswahili ambapo amekiri kuwa ni jambo jela kufanya kwa sababu msanii ambaye alikuwa Role model wake Michael Jackson aliimba kiswahili kwenye nyimbo zake zaidi ya mbili. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Omarion alifunguka haya kuhusiana wimbo huo: Pen...

ZINAZOENDANA

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' an...

Wimbo wa Jason Derulo na Diamond kwa ajili ya Kombe la Dunia umetoka, usikilize hapa

13h ago

Hatimaye wimbo wa Jason Derule na Diamond Platnumz ‘Colours’ kwa ajili ya michuano ya Kom...

Mfahamu kiundani msanii aliyeimba Sikomi ya Diamond kwenye The Voice Afrique

15h ago

Asubuhi kumekucha na makucha yake! Natafuta simu yangu kuweza kufahamu ni habari gani zinaendelea nch...

Baba Daimond Amwakia Daimond Kisa Video Yake ya Utupu Iliyosambaa Mitandaoni

20h ago

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' ...

Baba'ke Diamond Atema Cheche Kesi ya Mwanaye

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' ...

Diamond Umaarufu Umekulevya, Sasa Jitasmini Upya

KWA kila mtu anayemfahamu Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', msanii wa kizazi kipya ambaye...

Ali Kiba, AY, Diamond waunganisha familia Afrika Mashariki

2d ago

Wasanii watatu wa Tanzania tayari wamekuwa kwenye uhusiano na wanawake kutoka Kenya, Uganda na Rwanda

Rais Mstaafu Kikwete, Ridhiwani Washindwa Kuhudhuria Harusi ya Ali Kiba

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete washindwa kuhudhuria harusi ya mw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek