Kamati ya maudhui ya TCRA kufuatilia mahojiano ya Diamond na Times Fm

By Bongo 5, 4w ago

Baada ya Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kusema kwamba amesikitishwa na kauli za Diamond alizozitoa kupitia kipindi The Playlist cha Times Fm dhidi ya Naibu Waziri wake, Juliana Shonza, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kamati yake ya maudhui inafuatilia mahojiano ya mwanamuziki huyo aliyoyafanya katika kituo hicho. Akiongea […]

ZINAZOENDANA

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' an...

Wimbo wa Jason Derulo na Diamond kwa ajili ya Kombe la Dunia umetoka, usikilize hapa

13h ago

Hatimaye wimbo wa Jason Derule na Diamond Platnumz ‘Colours’ kwa ajili ya michuano ya Kom...

Mfahamu kiundani msanii aliyeimba Sikomi ya Diamond kwenye The Voice Afrique

15h ago

Asubuhi kumekucha na makucha yake! Natafuta simu yangu kuweza kufahamu ni habari gani zinaendelea nch...

Mwakyembe Apokea kwa Mshituko Mkubwa Kifo cha Msanii wa bendi ya Mzee King Kiki

17h ago

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa...

TCRA Yaanza Usajili wa Blog, Radio na TV za Mtandaoni

17h ago

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza rasmi zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu...

Mwakyembe atuma salamu za rambirambi kifo cha Bisongo

18h ago

Kasongo alifanya kazi za muziki katika bendi za Tanzania One, Achigo na baadaye kuhamia bendi ya Waze...

Waziri Mwakyembe amlilia Msanii wa bendi ya Mzee King Kiki

18h ago

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa...

Mwakyembe amlilia Bisongo

19h ago

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko taarifa y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek