Diamond Platnumz Aeleza Bifu yake na Ali Kiba ilivyosukwa 'Kumuua Kimuziki' Adai Walikutana

By Udaku Specially, 4w ago

Diamond Platinumz amedai kuwa uhasama kati yake na Ali Kiba ulipikwa na chombo kimoja cha habari kwa lengo la kumuondoa kwenye ramani ya muziki.Bosi huyo wa WCB amefunguka katika mahojiano na Lil Ommy wa Times FM, ambapo amedai kuwa uhasama huo ulikuwa miongoni mwa mbinu za muda mrefu zilizoshindwa za kutaka kumuua kimuziki.Amesema kuwa baada ya kugundua mbinu hiyo, alikutana na Ali Kiba jijini Nairobi na akazungumza naye kuhusu hilo na wakakubaliana hakuna tofauti kati yao.Diamond ambaye anapromoti albam yake mpya ya 'A Boy From Tandale' alisema kuwa tofauti kati yake na Ali Kiba...

ZINAZOENDANA

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee 'Mimi Mars', amefu...

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa 'Roma Mkatoliki'...

Lulu Diva Ajikuta Akimwaga Chozi Hadharani Kisa Hiki Hapa

12h ago

MWANA-MUZIKI Lulu Abass 'Lulu Diva' hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi w...

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' an...

Beki wa Simba kumuoa dada wa Ali Kiba

13h ago

Baada ya Ali Kiba kufunga ndoa Mombasa, Kenya, dada yake anatarajia kuolewa na Banda baadaye mwaka hu...

Mlimbwende Agnes Masogange kutoka Tanzania aaga dunia

13h ago

Mlimbwende mnogesha video za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Agnes Gerald Alias Masogange amea...

Wimbo wa Jason Derulo na Diamond kwa ajili ya Kombe la Dunia umetoka, usikilize hapa

13h ago

Hatimaye wimbo wa Jason Derule na Diamond Platnumz ‘Colours’ kwa ajili ya michuano ya Kom...

Huu Hapa Ushauri wa Mbasha kwa JokateBaada ya Alikiba Kuoa Mwanamke Mwingine

14h ago

Siku ya April 19,2018 msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba alifunga pingu za maisha na mpenzi wake Amina Kh...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek