Faida 5 za Kuendesha Baiskeli

By Udaku Specially, 4w ago

Najua fika utakuwa umeshangazwa na kichwa ya mada hapo juu, ya kwamba hivi ni kweli kuna faida yeyote ya kuendesha baiskeli kiafya, ukiachana na dhana ya kwamba baiskeli ni chombo cha usafiriambacho hutumika kukufikisha sehemu unayotaka kwenda? Majibu ya swali hilo yapo katika Makala haya kwamba ndiyo zipo faida ambazo utazipata endapo utaendesha baiskeli mara kwa mara.Miongoni mwa faida hizo ni;1. Kuendesha baiskeli kunasaidia kupunguza kwa kiwango kikubwa  mafuta  mwilini, kwasababu hupunguza calori  mwilini.2. Baskeli ni usafiri rahisi unaoweza kujichanga ukanunua na ukaokoa ...

ZINAZOENDANA

Usiyoyajua kuhusu kufikia mshindo

8h ago

Makala ya leo itasaidia kujibu maswali ninayoyapokea mara kwa mara kutoka kwa wasomaji wanaotaka kuju...

Kifahamu kilimo cha kisasa cha maharage-2

12h ago

Makala ya wiki iliyopita iliishia katika kipengele kuhusu maandalizi ya mbegu. Endelea.

Ukweli wa Tattoo na Maadili Yetu Nchini

16h ago

Wiki iliyopita nilianza mfululizo wa makala haya kuhusu michoro ya mwilini maarufu kwa jina la tattoo...

Mchango wa vijana unahitajika katika uchambuzi wa bajeti

16h ago

Bajeti ya Serikali ni makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha ambao huanza ras...

Serikali iongeze fedha bajeti ya afya

16h ago

Juzi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto ilisoma hotuba yake ya makadirio ya mapato ...

Jaji mkuu asifu ongezeko la bajeti, majaji

18h ago

JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema Bajeti ya Mahakama kwa mwaka wa fedha 2018/2019 i...

BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

Na Mwandishi Wetu Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia na kupitisha jumla ya Sh...

BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

18h ago

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy MwalimuNa Mwandishi Wetu DodomaB...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek