Mbinu Zitazokusaidia Kufikia Malengo ya Mafanikio

By Udaku Specially, 4w ago

Umbali uliopo kati ya malengo yako na mafanikio ni mrefu sana, na una vikwazo vingi sana, nafahamu fika ya kwamba hilo unalitambua vizuri sana.Umbali huo ambao upo baadhi ya watu ambao wana Mafanikio wameweka mikakati thabiti ambayo imewafanya wameweza kufanikiwa.Pia kwa upande watu ambao hawajafanikiwa kwa kiwango cha juu na wao katika malengo yao wameweka mikakati, ila wengi wao hukata tamaa njiani katika utekelezaji wa mambo mbalimbali yatayowalete mafanikio.Hali hiyo hutokea kwa sababu wengi wao hushidwa kuhimili changamoto ambazo hujitokeza katika safari hiyo ya kutoka katika malengo hadi...

ZINAZOENDANA

Usiyoyajua kuhusu kufikia mshindo

8h ago

Makala ya leo itasaidia kujibu maswali ninayoyapokea mara kwa mara kutoka kwa wasomaji wanaotaka kuju...

Kifahamu kilimo cha kisasa cha maharage-2

12h ago

Makala ya wiki iliyopita iliishia katika kipengele kuhusu maandalizi ya mbegu. Endelea.

Ukweli wa Tattoo na Maadili Yetu Nchini

17h ago

Wiki iliyopita nilianza mfululizo wa makala haya kuhusu michoro ya mwilini maarufu kwa jina la tattoo...

Mchango wa vijana unahitajika katika uchambuzi wa bajeti

17h ago

Bajeti ya Serikali ni makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha ambao huanza ras...

Serikali iongeze fedha bajeti ya afya

17h ago

Juzi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto ilisoma hotuba yake ya makadirio ya mapato ...

Jaji mkuu asifu ongezeko la bajeti, majaji

18h ago

JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema Bajeti ya Mahakama kwa mwaka wa fedha 2018/2019 i...

BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

Na Mwandishi Wetu Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia na kupitisha jumla ya Sh...

BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

18h ago

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy MwalimuNa Mwandishi Wetu DodomaB...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek