Jifunze Jinsi ya Kuwa Mzungumzaji Bora

By Udaku Specially, 4w ago

Wapo baadhi ya wasomaji wangu walikuwa wakiniuliza "eti nifanye nini ili kuwa mzungumzaji mzuri mbele ya watu wengine?  Swali hili kiukweli limekuwa likiwatatiza watu wengi sana kwa namna moja ama nyingine.  Na kutokana na hali hiyo kumewafanya watu hao hao kuwa katika hali unyonge,  kwani huisi watachekwa na sababu nyingine kama hizo.Lakini ukweli ni kwamba endapo utazijua siri hizi kuwa mzungumzaji bora zitakwenda kukusaidia kutoka katika hali uliyonayo hatimaye kuwa mzungumzaji mzuri.Zifuatazo ndizo mbinu kuwa mzungumaj bora:1.Kuwa na Taarifa za Uhakika na Kutosha.Moja ya&nbs...

ZINAZOENDANA

Usiyoyajua kuhusu kufikia mshindo

8h ago

Makala ya leo itasaidia kujibu maswali ninayoyapokea mara kwa mara kutoka kwa wasomaji wanaotaka kuju...

Kifahamu kilimo cha kisasa cha maharage-2

12h ago

Makala ya wiki iliyopita iliishia katika kipengele kuhusu maandalizi ya mbegu. Endelea.

Ukweli wa Tattoo na Maadili Yetu Nchini

16h ago

Wiki iliyopita nilianza mfululizo wa makala haya kuhusu michoro ya mwilini maarufu kwa jina la tattoo...

Usiyoyajua Kuhusu Kufikia Kileleni Wakati wa Tendo la Ndoa

20h ago

Makala ya leo itasaidia kujibu maswali ninayoyapokea mara kwa mara kutoka kwa wasomaji wanaotaka kuju...

Google Kuja na CHAT Sehemu Mpya ya Android Badala ya SMS

2d ago

Miaka miwili iliyopita hapa Tanzania Tech tulishawahi kuongelea kuhusu Google kuja na sehemu mpya amb...

Usiyoyajua kuhusu kufikia mshindo

2d ago

Makala ya leo itasaidia kujibu maswali ninayoyapokea mara kwa mara kutoka kwa wasomaji wanaotaka kuju...

Yasiyotakiwa kufanywa na Tume ya Uchaguzi

4d ago

Kabla ya kudadavua namna vyama vya siasa, wagombea na wadau wengine wa uchaguzi wanavyotakiwa kuwasil...

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda -4

Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha maelfu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek