Hali ya Aveva si nzuri

By Udaku Specially, 4w ago

Rais wa Simba, Evans Aveva.HALI ya Rais wa Simba, Evans Aveva, si nzuri na anaendelea kutibiwa ka­tika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.Jana, Aveva alishindwa kufika ma­hakamani kwa mara ya saba lakini ndugu yake akaliambia Championi, hali yake si nzuri.'€œHali yake si nzuri, anaumwa sana kwa kweli na sisi tunajisikia vibaya lakini ni kipindi cha mapito. Unajua bado ana kesi lakini kweli Aveva anaumwa sana na hata ukimuona, anaumiza sana moyo,'€ alisema.Aveva amekuwa akizidi kupungua kutokana na kuugua mfululizo siku chache baada ya kuingia mahabusu akituhumiwa katika kesi ya u...

ZINAZOENDANA

BENKI YA DUNIA YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI RELI YA ISAKA - KIGALI

3h ago

Ujumbe wa Tanzania (kulia) na ujumbe wa Benki ya Dunia (kushoto) wakiwa katika majadiliano ya miradi ...

VIDEO-MAKAMBA: MUUNGANO NI URITHI WETU, TU UTUNZE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kongamano...

SIDO yawakumbuka wajasiriamali DSM

9h ago

Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo-SIDO limewatunuku vyeti maalumu wajasiriamali takribani 300 kutok...

Wizi wa almasi: Mugabe atakiwa kutoa ushahidi

11h ago

Bunge la Zimbabwe limemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe kutoa ushahidi wa madai aliyot...

Wizi wa almasi: Mugabe atakiwa kutoa ushahidi

11h ago

Bunge la Zimbabwe limemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe kutoa ushahidi wa madai aliyot...

Ukarabati wa miundombinu ya barabara na madaraja,Serikali inaandaa utaratibu kufuatia uharibifu uliosababishwa na mvua

11h ago

Waziri wa nchi ofisi ya rais Tawala za mikoa na serikali za mtaa Sulemani Jaffo amebainisha hayo jiji...

Rais wa Afrika Kusini,Akabiliana na maandamano ya jimbo la Kaskazini Magharibi

11h ago

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefanya mazungumzo na kiongozi wa jimbo la kaskazini magharibi...

Rais wa Botswana amtaka Kabila asigombee tena

12h ago

Botswana,moja ya nchi za Afrika zilizoimarika katika demokrasia, ndiyo nchi pekee ambayo imethubutu k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek