Jide na ishu ya kuishi Nigeria

By Udaku Specially, 4w ago

MEI 20, mwaka jana ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nilibahatika kuwa miongoni mwa waalikwa katika tamasha kubwa la muziki lililotambulika kama Naamka Tena lililoandaliwa na mwanamuziki mkongwe wa kike wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' ukipenda waweza kumuita Komando.Hamu kubwa ya kuwepo katika tamasha hilo ni kumshuhudia akiimba wimbo wake ambao ulikuwa gumzo kwa kipindi hicho wa Ndi Ndi Ndi. Nilishangaa ukumbi wote ukilipuka kwa shangwe huku wengi wakiomba wimbo huo urudiwe zaidi ya mara nne.Jide alikuwa Jide kweli, uwezo wake wa kulitawala jukwaa kw...

ZINAZOENDANA

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee 'Mimi Mars', amefu...

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa 'Roma Mkatoliki'...

BENKI YA DUNIA YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI RELI YA ISAKA - KIGALI

3h ago

Ujumbe wa Tanzania (kulia) na ujumbe wa Benki ya Dunia (kushoto) wakiwa katika majadiliano ya miradi ...

Usiyoyajua kuhusu kufikia mshindo

8h ago

Makala ya leo itasaidia kujibu maswali ninayoyapokea mara kwa mara kutoka kwa wasomaji wanaotaka kuju...

VIDEO-MAKAMBA: MUUNGANO NI URITHI WETU, TU UTUNZE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kongamano...

SIDO yawakumbuka wajasiriamali DSM

9h ago

Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo-SIDO limewatunuku vyeti maalumu wajasiriamali takribani 300 kutok...

Wizi wa almasi: Mugabe atakiwa kutoa ushahidi

11h ago

Bunge la Zimbabwe limemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe kutoa ushahidi wa madai aliyot...

Wizi wa almasi: Mugabe atakiwa kutoa ushahidi

11h ago

Bunge la Zimbabwe limemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe kutoa ushahidi wa madai aliyot...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek