Life Style ya Ommy Dimpoz Yaacha Maswali Mengi, Afananishwa na Warembo Kama Sanchoka

By Udaku Specially, 1w ago

NI kijana flani hivi mtanashati, kipenzi cha kinadada, akicheka mashavuni anabonyea pia ana sauti nzuri anaposikika nyuma ya biti. Anamiliki Lebo ya PKP (Pozi Kwa Pozi) na wimbo wake wa Me and You ulibeba tuzo tatu katika kinyang'anyiro cha Tuzo za KTMA 2013. Bado hujamjua tu? Sikia tena, yupo chini ya Lebo ya Rockstar400, ni mzaliwa wa Kigoma, wimbo wake wa mwisho kutoa unaitwa Cheche na anapenda maisha ya bata!Hapo je? Kama bado hujamjua sasa hapo utakuwa 'slow' mtu wangu, lakini sio kesi, ngoja nikutafunie umeze, ninamzungumzia mkali kwenye gemu la Muziki wa Bongo F...

ZINAZOENDANA

New Music: Rayvanny X S2kizzy - Pochi Nene

2h ago

Msanii wa muziki Bongo, Rayvany ameachia ngoma mpya ‘Pochi Nene’ akishirikiana na produce...

Ali Kiba na Diamond Uso Kwa Uso Kwenye Msiba Wa Masogange

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na hasimu wake namba moja msanii mwenzake Ali Kiba wam...

Wolper, Kajala, Tunda na Mrisho Mpoto waeleza mahusiano yao na marehemu Masogange (+video)

13h ago

Waigizaji wa filamu na Wasanii wa muziki akiwemo Jacqualine Wolper, Kajala, Tunda na Mrisho Mpoto wam...

Barnaba auaga mwili wa marehemu Masogange kwa namna ya kipekee (+video)

15h ago

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Barnaba leo Aprili 22, 2018 alikuwa ni moja ya wasan...

TANZIA: Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva yapata pigo, Msanii Jebby afariki dunia

17h ago

Msanii wa Bongo Fleva, Jebby ambaye amewahi kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Swahiba’ ame...

Mrisho Mpoto awaliza Watanzania waliofika Leaders kuuaga mwili wa Masogange (+video)

17h ago

Mashairi ya Msanii wa Muziki wa asili, Mrisho Mpoto yamewatoa machozi mamia ya wakazi wa Jiji la Dar ...

Alikiba awakanya waigizaji na wasanii wa muziki, Awataka wakumbuke jambo hili muhimu (+video)

18h ago

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amewaasa wasanii wenzake wa muziki na Waigizaji wa filamu ku...

Diamond na Ali Kiba Walivyokutana Kumuaga Masogange

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ni miongoni mwa wasanii waliofika ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek