Mambo ni Hivi Video ya Daimond na Hamisa Mobeto Wakifanya Yao Yavuja Kitandani

By Udaku Specially, 1w ago

IMEVUJA! Video inayomuonyesha msanii maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Paltnumz' na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto imesambaa mitandaoni ikiwaonyesha wawili hao wakipeana mahaba mazito kitandani.Hii imetokea ikiwa ni wiki mbili tangu wawili hao walipokutana live kwenye Tuzo za SZIFF pale Mliamni City Dar ambapo Diamond alimkumbatia mwanamama huyo na kupigana mabusu motomoto mbele ya umati uliofika kushuhudia tukio la tuzo hizo.Katika video inayosambaa inawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani wakijiachia, huku mashabiki mitandaoni wakieleza kwamba huenda wamerudi...

ZINAZOENDANA

Msiba wa Masogange Wazima Ndoa ya Abdu Kiba

  MSIBA wa aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald 'Masogange' aliyefariki I...

Msanii wa Bongo Movie kuzimia msibani huku kabana kitambaa mkononi kwaibua gumzo

33m ago

Hapo jana April 22, 2018 mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ aliagwa katika viwan...

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu

49m ago

Bonyeza links zifuatazo Kusoma zaidi na kuapply:3 Job Opportunities at TANROADS Tanzania, Weigh bridg...

Penzi la Mobeto na Diamond Lazidi Kupamba Moto

51m ago

Hata baada ya kupelekana mpaka polisi hakuna alikuja kukaa na kuamini kuwa msanii diamond platinumz n...

BELLE 9 ASIMULIA ALIVYOMPA JINA AGNESS MASOGANGE

MKALI wa Bongo Fleva, Abednego Damian 'Belle 9′ ndiye 'aliyembatiza' jina la...

New Music: Rayvanny X S2kizzy - Pochi Nene

2h ago

Msanii wa muziki Bongo, Rayvany ameachia ngoma mpya ‘Pochi Nene’ akishirikiana na produce...

Taarifa ya Meya wa Ubungo kuvamiwa nyumbani

Kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Meya wa Ubungo Boniface Jacob kumeandikwa yafuatayo'€œAskari ...

Ali Kiba na Diamond Uso Kwa Uso Kwenye Msiba Wa Masogange

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na hasimu wake namba moja msanii mwenzake Ali Kiba wam...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek