WAZIRI MWAKYEMBE: TATUENI KERO ZA WADAU KWA HARAKA NA UFANISI

By Issa Michuzi, 1w ago

Na Anitha Jonas - WHUSM,Dodoma. Watumishi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wamehimizwa kutumia muda wao wa kazi kuwahudumia wananchi kwa kujibu hoja na kutatua kero zao kwa haraka na ufanisi. Hayo yamesemwa leo Mkoani Dodoma na Waziri Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe alipokuwa akifungua kikao cha 13 cha Baraza la Wafanyakazi cha Wizara hiyo, ambacho hufanyika mara mbili kwa mwaka kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za watumishi. '€œNi wajibu wa kila mtumishi kuzingatia maadili na weledi katika kuhakikisha utumishi wa umma unaheshimika na k...

ZINAZOENDANA

Ni wiki ya Mbarawa, Mwakyembe bungeni

59m ago

MKUTANO wa Bunge la 11 unaendelea leo, ambapo Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya ...

Mwakyembe Apokea kwa Mshituko Mkubwa Kifo cha Msanii wa bendi ya Mzee King Kiki

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa...

Mwakyembe atuma salamu za rambirambi kifo cha Bisongo

2d ago

Kasongo alifanya kazi za muziki katika bendi za Tanzania One, Achigo na baadaye kuhamia bendi ya Waze...

Waziri Mwakyembe amlilia Msanii wa bendi ya Mzee King Kiki

2d ago

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa...

Mwakyembe amlilia Bisongo

2d ago

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko taarifa y...

Waziri Mwakyembe amlilia Msanii wa bendi ya Mzee King Kiki

2d ago

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa...

WAZIRI MWAKYEMBE APOKEA KWA MASIKITIKO TAARIFA YA KIFO CHA MWANAMUZIKI WA DANSI BW.KALAMBAY BISONGO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitik...

Baba Daimond Amwakia Daimond Kisa Video Yake ya Utupu Iliyosambaa Mitandaoni

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek