Wolper Awatolea Mate Cardi B na Rihanna

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Muigizaji wa Bongo movie na mfanyabiashara maarufu Jacqueline Wolper ameibuka na kuweka wazi kuwa anawakubali sana wasanii wawili wakubwa ambao ni Cardi B na Rihanna angependa siku moja awavalishe. Wolper anamiliki duka lake la mavazi ama boutique inayojulikana kama House Of stylish na amewavalisha wasanii kadhaa na nguo zake anazovaa anahusika mwenyewe kuzishona. Wolper amefunguka na kuweka wazi ndoto zake kubwa katika sekta ya fashion ni kufika mbali kimataifa zaidi mpaka kuwavalisha wasanii wakubwa duniani. Kwenye mahojiano aliyofanya na Bongo5 Wolper amesema moja ya ndoto zake ni kuja k...

ZINAZOENDANA

Madonna Ashindwa Kesi ya Barua ya Kutemwa na Tupac Shakur

Malkia wa muziki wa Pop kutoka nchini Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna ameshindwa kesi ...

Malaria yapungua kwa asilimia 7.1 nchini

3h ago

Maambukizi ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yamepungua kwa Watoto chini ya miaka m...

Puto Alilowekewa Tumboni Kigogo IPTL Hatarini Kupasuka

3h ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa hali ya kigogo wa IPTL, Harbinder Sethi inazidi kudhoo...

Wolper Aitabiria Kifo Bongo Movie, Awataka Waache Unafiki

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, amekubali kushindwa kwenye upande wa filamu na hati...

Marekani na Uingereza zaonya raia wao Tanzania

4h ago

Marekani na Uingereza wametoa wito kwa raia wao waishio nchini Tanzania kuwa waangalifu baada ya poli...

Maambukizi ya Malaria nchini yapungua kwa Asilimia 7.3

4h ago

Na Ripota wetu Kasulu, Kigoma MAAMBUKIZI ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yam...

Rais wa zamani Malawi Apanga Kurejea Tena Nchini humo baada ya Kukaa Uhamishoni Miaka 4

5h ago

Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Joyce Banda anatarajia kuingia nchini humo wiki hii baada ya kuishi mi...

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kufanya ziara nchini

6h ago

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Ayodeji Adesina atafanya ziara ya siku nne...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek