Ikulu Yakanusha Taarifa ya Tuzo ya Inayodaiwa Kushinda Magufuli

By Udaku Specially, 7d ago

Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, nchini Bwana Gerson Msigwa, amesema haiana taarifa juu ya tuzo aliyoshinda Rais Magufuli nchini Ghana, kama kiongozi bora barani Afrika.Akizungumza na www.eatv.tv Msigwa amesema kuwa utaratibu wa tuzo yoyote lazima mtu anayepewa apewe taarifa rasmi, lakini mpaka sasa hawajapokea taarifa yoyote kutoka kwa waandaaji wa tuzo hizo, hivyo hawajui lolote kama ni kweli ama la.'€œHatuna taarifa ya tuzo hiyo, tunavyojua ni kwamba mtu yeyote anayepewa tuzo lazima apewe taarifa rasmi kutoka kwa watoaji, sasa hatujapata taarifa yoyote mpaka sasa, nasikia ...

ZINAZOENDANA

FATMA KARUME: HAKUNA WA KUIDHIBITI TLS

1m ago

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kumtaka Jaji Mkuu wa Tan...

Mfahamu Siyani, jaji kijana aliyetajwa na Rais Magufuli

11m ago

Jaji Mustapher Siyani ni miongoni mwa majaji 10 walioteuliwa na Rais John Magufuli Aprili 15 na kuapi...

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB

2h ago

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa B...

Chanzo cha ukosefu wa dawa zahanati chatajwa

2h ago

Serikali imetaja sababu za kukosekana kwa dawa katika zahanati na vituo vya afya maeneo mbalimbali nc...

Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Benki ya Posta

Rais John Magufuli amemteua Dkt. Edmund Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Po...

Rais Magufuli afanya uteuzi wa benki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mn...

Mashindano ya Mei Mosi Pemba: Mkoa wa Kaskazini Waibugiza Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais 10-0

3h ago

 MCHEZAJI wa Timu ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salim Suleiman akiukontroli mpira na kujaribu kump...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek