Mama Mobeto Ataka Hamisa Aolewe na Mwanaume Huyu

By Udaku Specially, 1w ago

Mama wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema katika maisha yake alikuwa anamuombea  mtoto wake huyo aolewe na mzungu.Akizungumza na MCL Digital, Shufaa amesema sababu ya kutaka aolewe na mtu wa aina hiyo ni kutokana na wanaume wa kiafrika kutokuwa na mapenzi ya kweli.'€œUnajua mtoto wangu ni mzuri, mrefu ana  shingo  nzuri nataka mwanaume atakayemuoa amuangalie kama malaika, kama malkia kwa kuwa ni mwanamke mwenye misimamo yake na ametulia sio muhuni kama watu wanavyomfikia.'€œWazungu hawana 'stress' wanajua namna ya kujali mwanamke, hawanag...

ZINAZOENDANA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

10m ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege...

Meli kubwa zaidi yatia nanga bandari ya Dar es salaam,Ni mara ya kwanza kufuatia upanuzi wa kina na lango bahari ya Hindi

14m ago

Meli kubwa yenye urefu wa mita 264. 3 imetia nanga kwa mara ya kwanza kwa majaribio katika bandari ya...

Kichuya: Nitawalaza mapema tu

16m ago

KAMA kuna mchezaji wa Simba ambaye Yanga watakuwa na shughuli naye nzito basi ni winga, Shiza Kichuya...

RAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

18m ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana...

Mashabiki AS Roma mbaroni England

20m ago

Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield ilishinda mabao 5-2 katika mchezo wa nusu fainali y...

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

Makonda azua gumzo bungeni

28m ago

Na Editha Majura, Dodoma Ushawishi wa wabunge wa kutaka Bunge na Serikali, kumchukulia hatua Mkuu wa ...

Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli

28m ago

Mange Kimambi, mwanamitindo aliyabadilika kuwa mwanaharakati wa siasa na anaaminiwa kuwa ndio chanzo ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek