Rais wa Ufaransa Amtaka Trump Asiondoe Vikosi vya Askari Syria

By Udaku Specially, 1w ago

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amesema amemshamwishi Rais wa Marekani Donald Trump, asiviondoe vikosi vya askari wa Marekani vilivyoko nchini Syria.Mapema mwezi huu, Rais Trump alisema kwamba ataviondoa vikosi vya askari wake vipatavyo elfu mbili ambavyo vilitumwa nchini Syria hivi karibuni.Ingawa Rais wa Macron amewaambia waandishi habari nchini kwamba amezungumza na rais Trump kabla ya shambulizi la anga lililotekelezwa mwisho mwa juma lililopita na kumtaka ashiriki kutafuta suluhu ya mgogoro huo kwa muda mrefu zaidi.Akitolea ufafanuzi juu ya shambulio hilo la anga lililotekelezwa kwa pa...

ZINAZOENDANA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

12m ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege...

RAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

20m ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana...

RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AKUNWA NA KASI YA RAIS MAGUFULI

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika -AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina (katikati) akiwasili kwenye Uwanja ...

Rais Tserese Khama Ian Khama nguzo ya mafanikio ya Botswana

2h ago

Na Mkinga Mkinga Aliyekuwa Gaborone, Botswana. Kusini mwa jangwa la Sahara, pamezoeleka kuwa na majan...

Madonna Ashindwa Kesi ya Barua ya Kutemwa na Tupac Shakur

Malkia wa muziki wa Pop kutoka nchini Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna ameshindwa kesi ...

Malaria yapungua kwa asilimia 7.1 nchini

2h ago

Maambukizi ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yamepungua kwa Watoto chini ya miaka m...

MIAKA 54 YA MUUNGANO NA KUSHAMIRI KWA MATUMIZI YA KISWAHILI DUNIANI

Na. Immaculate Makilika Mapema wiki hii, tumeshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. J...

Puto Alilowekewa Tumboni Kigogo IPTL Hatarini Kupasuka

3h ago

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa hali ya kigogo wa IPTL, Harbinder Sethi inazidi kudhoo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek