Makonda Awatahadharisha Wakazi wa Dar

By Udaku Specially, 1w ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa tahadhari kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kuchukua tahadhari kwa mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo na kuwataka kukaa maeneo salama kwa ajili ya usalama wao na mali zao kwa ujumla.Akizungumza na waandishi wa habari, Makonda amesema kuwa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha kuwa leo Aprili 16, 2018 mvua hizo zitakua kubwa zaidi hivyo wananchi hawana budi kuchukua tahadhari mapema zaidi."Katika mvua hizo zilizonyesha kwa muda wa siku mbili mfululizo zimeshaleta madhara kadhaa katika baadhi ya maeneo hivyo ili madhara zaidi yasiweze kuji...

ZINAZOENDANA

Mafuriko yaendelea kutatiza shughuli nchini Kenya

3h ago

Biashara nyingi mjini Thika zilitatizika baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia Jumanne.

MWENYEKITI HALMASHAURI YA MOROGRO ATAJA MBINU KUTUA MIGOGORO YA ARDHI

5h ago

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii IMEELEZWA watu pekee wanaoweza kumaliza migogoro ya ardhi nchini...

Siasa za matukio na mustakabali wa Taifa

7h ago

Wakazi wa maeneo mengi nchini wiki iliyopita imekuwa ni ngumu kwao, hasa kutokana na mvua kubwa ambaz...

Madai Yaibuka Je Agness Gerald aka Masogange Ameuawa???

WAKATI mwili wa 'Video Queen' maarufu Bongo, Agness Gerald 'Masogange' ukit...

Mvua kubwa yatishia maisha ya maelfu ya watu Kenya

8h ago

Mabwawa mawili nchini Kenya yanakaribia kufurika kutokana na mvua kubwa , inayotishia maisha ya maelf...

Mvua yaua watu 15 Kenya, yasimamisha kazi

9h ago

Barabara kuu kadhaa zimeharibika na kusababisha wasafiri wengi kushindwa kusafiri 

Mvua zinazonyesha zaua watu 18 Rwanda

9h ago

Mvua kubwa imeendelea kunyesha katika mataufa ya Afrika Mashariki na Kati. Nchini Rwanda watu kumi na...

Je Agness Masogange Ameuawa...Madai Yaibuka

10h ago

WAKATI mwili wa 'Video Queen' maarufu Bongo, Agness Gerald 'Masogange' ukit...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek