Koffi Olomida Aalikwa Kenya Kufanya Shoo

By Udaku Specially, 1w ago

Mwanamuziki Koffi Olomide ametangaza kuwa na onyesho la muziki mwezi huu tarehe 24 nchini Kenya.Onyesho hili litakuwa la kwanza nchini Kenya tangu alivyokataliwa kuingia nchini humo Julai 2016 baada ya kumdhalilisha mmoja wa wanenguaji wake .Koffi amesema hayo katika ujumbe wa video kwamba amealikwa kufanya onyesho katika mkutano wa taifa la Kenya ambao utajumuisha viongozi 47 wa nchi hiyo ambao ni mjumuisho wa rais na viongozi wa juu wa serikali.Mshairi kufungwa jela kwa kuhamasisha umoja SomaliaMwanamuziki huyo Koffi Olomide anayefanya muziki wa lingala mwenye umri wa miaka 61, aliomba radhi...

ZINAZOENDANA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

11m ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege...

Meli kubwa zaidi yatia nanga bandari ya Dar es salaam,Ni mara ya kwanza kufuatia upanuzi wa kina na lango bahari ya Hindi

14m ago

Meli kubwa yenye urefu wa mita 264. 3 imetia nanga kwa mara ya kwanza kwa majaribio katika bandari ya...

RAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

19m ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana...

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA - VIDEO

The post STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA – VIDEO appeared first on Global Publisher...

Mlinga: Wapinzani Mnatukana Matusi Hamna Jema - Video

Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ...

Halima Burembo: Upinzania Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

SERENGETI BOYS YATINGA FAINALI CECAFA U17 NCHINI BURUNDI

TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefanikiwa kuingia Fai...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek