Zanzibar Yafungiwa Michuano ya CECAFA

By Udaku Specially, 1w ago

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Zanzibar (Karume Boys), imefungiwa mwaka mmoja kushiriki michuano ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Cup U17.Mbali na kifungo hicho lakini pia timu hiyo  imepigwa  faini ya dola za Kimarekani 15,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 30, kwa kosa la kupeleka wachezaji waliozidi umri.Michuano ya CECAFA Challenge Cup U17 inaendelea nchini Burundi na Zanzibar inadaiwa kuorodhesha wachezaji waliozaliwa kabla ya Januari 1 mwaka 2002, ambao wazi wamezidi umri unaotakiwa wa miaka 17.Kwa kifungo hicho ni wazi Karume Boys w...

ZINAZOENDANA

RAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

19m ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana...

SERENGETI BOYS YATINGA FAINALI CECAFA U17 NCHINI BURUNDI

TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefanikiwa kuingia Fai...

MV Mapinduzi No. 2 yasitisha safari muda wa miezi 3

3h ago

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema inaendelea  na harakati  za kulitafutia ufumbuzi t...

Maambukizi ya Malaria nchini yapungua kwa Asilimia 7.3

4h ago

Na Ripota wetu Kasulu, Kigoma MAAMBUKIZI ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yam...

Zanzibar yajivunia kupunguza maambukizi ya malaria

4h ago

Leo ni siku ya kimataifa ya kupambana na ugonjwa wa Malaria. Kisiwa cha Zanzibar ni moja kati ya maen...

Chadema Zanzibar wasema hawahusiki na maandamano Aprili 26

4h ago

Ni kutokana na kuwepo kwa taarifa maandamano Aprili 26

DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mw...

Kutana na wataalamu wanaozunguka majumbani Zanzibar kupambana na Malaria

6h ago

Kati ya watu 100 wanaopimwa damu kuangalia vimelea vya Malaria Zanzibar , haizidi zaidi ya mtu mmoja ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek