Mke wa Rommy Afunguka Mazito Baada Ya Mumewe Kumtongoza Naj

By Ghafla Tanzania, 6d ago

Wiki iliyopita Rommy Jones alizua gumzo baada ya meseji zake alizomtumia msanii Naj kwa ajili ya kumtongoza kuvuja kwenye mitandao ya kijamii. Jambo hilo lilizua mambo mengi kwa sababu Rommy ametoka kuoa miezi michache iliyopita kwaiyo kitendo cha yeye kumtaka mwanamke mwingine kilishangaza wengi. Lakini tangu siku ya Ijumaa mke wa Rommy Jones anayejulikana kama Kay Jord aliweka wazi kuwa hana mpango wa kuachana na mume wake kwa sababu ya michepuko. Kwenye mahojiano aliyofanya na Ijumaa Wikienda mke wa Rommy amefunguka na kudai meseji hizo zilizodaiwa kwamba mumewe alikuwa akimtongoza Najma...

ZINAZOENDANA

WAZIRI TIZEBA AAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO KUSIMAMISHWA KAZI

Waziri wa wizara yakilimo Mhe. Dkt Ch arles Tizeba akizungumza na waandishi wa h abari ofisini kwakem...

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee 'Mimi Mars', amefu...

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa 'Roma Mkatoliki'...

CHANJO YA KUKINGA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI HAIATHIRI UWEZO WA BINTI-HINCHA

4h ago

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniMRATIBU wa chanjo Mkoa wa Pwani, Abbas Hincha amesema, jumla ya watoto wa kik...

BENKI YA DUNIA YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI RELI YA ISAKA - KIGALI

4h ago

Ujumbe wa Tanzania (kulia) na ujumbe wa Benki ya Dunia (kushoto) wakiwa katika majadiliano ya miradi ...

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

4h ago

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda ak...

WAZIRI TIZEBA AAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO KUSIMAMISHWA KAZI

4h ago

Waziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake m...

Timu Tatu England Zinamtaka Samatta

NEEMA imezidi kumfungikia mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika Klabu ya KRC Genk...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek