Mwanadada anaesadidkika kuwa ni mpenzi wa sasa wa msanii Bilnass anaejulikana kama Alice, amemtolea maneno mazito mwanadada nandy wa kivuruge baada ya kuvuja kwa video ikimuonyesha nandy na Billnass. Mwanadada ahuyo ambae amemtuhumu Nandy kuwa alifanya makusudi kuvujisha picha hizo na kwamba yeye ndie aliemuomba mpenzi wake amtumie picha na leo hii anakana kuwa hajui chochote kuhusu picha na video hizo. katika ukurasa wake wa instagram, mwanadada huyo aliandika :”ujue wakati mwingine nandy ujitahidi kujiheshimu., ulimpigia simau william na kumuomba akutumie pics zenu wakati mnadating...
Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...
The post STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA – VIDEO appeared first on Global Publisher...
Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ...
Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...
Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katik...
Msanii Diamond Platnumz amemfagilia mrembo Vanessa Mdee kutokana na jitihada zake anazofanya kila kuk...
Ni msanii anayepamba video za muziki, 'video queen' Tunda.
MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche akichangia hoja inayohusu bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawas...