Shamsa Ford Atishia Kumpeleka Baba Watoto Wake Kwa Makonda

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Msanii wa Bongo movie Shamsa Ford amefungukia mipango yake ya kumbruza kwa Makonda Ex wake ambaye amezaa naye mtoto mmoja. Shamsa ameweka wazi kuwa atampeleka mzazi mwenzie Dickson Matoke kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kwa ajili ya kudai haki ya kuhudumiwa mtoto wake. Wiki iliyopita Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitangaza kuwa wamama wote waliotelekezwa na wanaume waliozaa nao waende ofisini kwake kwa ajili ya kuangalia msaada wa sheria watakaopata. Kwenye mahojiano aliyofanya na Risasi Jumamosi, Shamsa alisema kuwa sio kwamba hana uwezo wa kumhudumia mtoto wak...

ZINAZOENDANA

Madai Yaibuka Je Agness Gerald aka Masogange Ameuawa???

WAKATI mwili wa 'Video Queen' maarufu Bongo, Agness Gerald 'Masogange' ukit...

Je Agness Masogange Ameuawa...Madai Yaibuka

10h ago

WAKATI mwili wa 'Video Queen' maarufu Bongo, Agness Gerald 'Masogange' ukit...

Watu waelimishwe umuhimu wa kupima afya

1d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepitisha uamuzi ambao ulipokewa kwa hisia tofauti kuhus...

Watu waelimishwe umuhimu wa kupima afya

1d ago

Wiki iliyopita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipitisha uamuzi ambao ulipokewa kwa hisi...

MKAZI DAR AMLILIA RC MAKONDA AMSAIDIE KUPATA NYUMBA YAKE AMBAYO ANADAI AMEDHULUMIWA

3d ago

Na Emmanul Masaka ,Globu ya jamiiMKAZI wa Mnazi Mmoja barabara ya Sukuma na Mafya jijini Dar es Sa...

Vidole Havitatumika Kupima Wanaume wa Dar Tezi Dume-Makonda

3d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa, njia itakayotumika kuwapima saratani ya tez...

VIDEO-Makonda na mambo mengine matano walivyotikisa Bunge Dodoma

3d ago

Kampeni inayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inayolenga kuwasikiliza wanawake w...

Muhimbili yataja kinachowatesa wanaume wengi, Makonda aja na kampeni ya tezi dume

3d ago

Wakati mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiandaa mkakati wa kuwapima wanaume wanaoishi jij...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek