Penzi la Uwoya na Janjaro Linavyowakosha Watu Mtandaoni.

By Ghafla Tanzania, 6d ago

Penzi la mwanadada Irene Uwoya na  Dogo Janja limezidi kuwa chachu katika mitandao ya kijamii baada ya wawili hao  kuwa wanawarusha watu roho kwa kuwaonyesha kile wanachokuwa wanakifanya katika maisha yao ya ndoa. Katika ukurasa wake wa instagram, dogo janja aliwekanpicha ya mkewe irene uwoya na kuandika “tunza cha ndani, hawara hana shukrani #abdulfamily‘ katika uwanja wa comments irene uwoay akajiu kwa bashasha kuhusu maneno ,achache ya mumewe na kuandika”nakupenda sana sijawahi kukutana na mwanaume ana akili kamaa wewe na muelewa kama wewe…mdogo lakini mmmhh ac...

ZINAZOENDANA

Zamaradi Mketemea Asimulia Alivyoumizwa na Kifo Cha Agness Masogange

18h ago

Mtangazaji Maarufu wa Televisheni na redio, Zamaradi Mketemea amefunguka na kueleza alivyoguswa na ms...

Baba Daimond Amwakia Daimond Kisa Video Yake ya Utupu Iliyosambaa Mitandaoni

20h ago

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' ...

Walichokiamua wasanii Bongo Movie Usiku Huu Kuhusu Mazishi ya Agness Masogange

21h ago

Wasanii mbalimbali wa filamu na wa bongo fleva, wamekutana katika viwanja vya Leaders Club usiku huu&...

Walichokiamua wasanii Bongo Movie Usiku Huu Kuhusu Mazishi ya Agness Masogange

1d ago

Wasanii mbalimbali wa filamu na wa bongo fleva, wamekutana katika viwanja vya Leaders Club usiku huu&...

Wanafunzi Walishwa Kinyesi na Mkojo Katika Hafla ya Kuwakaribisha Chuoni

Sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wapya katika chuo kikuu cha Msumbiji imezua hisia kali baada ya pi...

Rais Magufuli Achukizwa na Mitandao ya Kijamii " Uhuru Nchini Unasababisha Kila Kupost Anachojisikia"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kudai kuna ugonjwa ume...

Ujumbe wa Kanye wamchanganya Kim

2d ago

UNAAMBIWA Rapa, Kanye West amerudi kwa kishindo kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kurusha vijembe.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek