Wolper Akacha Kumsapoti Harmonize Kikazi ili Kulinda Mahusiano yake na Sarah

By Ghafla Tanzania, 1w ago

Muigizaji na mjasiriamali Jackline Wolper amefunguka na kusema kuwa ili kulinda mahusiano yamsanii huyo basi ameamua kuacha kumsapoti Harmonize katika kazi zake za kimuziki kwa sababu inaoneana kama bado ana mapenzi na msanii huyo wakati yeye ni kama shabiki tu. Wolper ambae hakuwahi kuonekana mwenye roho mbaya kila unapotoka wimbo mzuri wa Harmonize amekuwa akionekana kuimba na kucheza, amesema kuwa anapofanya hivyo inakuwa inaonekana kama vile bado ana hisia za kimapenzi na mwanamuziki huyo wakati yeye akishaacha amaecha. Haya yote yanatokea pale wiki iliyopita ambapo Sarah mpenzi wa Harmoni...

ZINAZOENDANA

Itazame hapa video ya mchekeshaji Erick Omondi - Kiwaru (Kwangwaru remix)

3h ago

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Erick Omondi amekuja na video mpya ya wimbo alioupa jina Kiwaru. Wim...

Wolper Aitabiria Kifo Bongo Movie, Awataka Waache Unafiki

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, amekubali kushindwa kwenye upande wa filamu na hati...

Wolper Anyosha Mikono Juu '€œR.I.P Bongo Movie Acha Nipambane Zangu '€œ

Msanii wa Bongo movie Jacqueline Wolper ameonesha kukubali kushindwa kwenye upande wa filamu na hatim...

Harmonize Awasihi Mashabiki Wasimchonganishe na Ali Kiba

11h ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri na ngoma yake ya ' Kwa ngwaru' Harmonize am...

Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya na Kuachana na Wabongo hizi hapa

Alfajiri ya Aprili 19, mwaka huu, Kiba alifunga ndoa na mrembo Amina Khaleef katika Msikiti wa Ummul ...

Video: Eric Omondi airudia 'Kwa Ngwaru' ya Harmonize na Diamond, itazame hapa

1d ago

Mchekesha kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amezidi kuonyesha ukubwa wa kipaji chake mara baada ya kua...

Ali Kiba na Diamond Uso Kwa Uso Kwenye Msiba Wa Masogange

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na hasimu wake namba moja msanii mwenzake Ali Kiba wam...

Diamond na Harmonize watoa heshima kwa mwili wa Masogange, Mamia wazimia Leaders (+Video)

3d ago

Wasanii kutoka WCB, Diamond Platnumz na Harmonize ni moja ya wasanii waliojitokeza katika kuuaga mwil...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek