Wema Atuma Salamu kwa Mange Baada ya Anil kimambi Kukutana na Makonda.

By Ghafla Tanzania, 7d ago

Mwanadada Wema Sepetu ametuma salamu kwa Mange Kimambi mwanadada anaefanya ushawishi mkubwa katika mtandao wa instagram katika siasa na maswala mbalimbali ya kijamii baada ya kaka yake na mwanadada huyo kukutana na Mh Paul Makonda wikiend iliyopita. Mange Kimambi na Wema walikuwa marafiki wakubwa huku Mange kila siku akisema kuwa yeye ndie aliweza kumuingiza wema katika tasnia ya urembo lakini uadui wao ulikuja baada ya Wema kuanza kutangatanga katika maswala ya siasa huku Wema akimtuhumu Wange kwa kumuibia akaunt yake ya instagram. Hata hivyo kaka wa Mange Kimambi aliyejulikana kama anil kima...

ZINAZOENDANA

Maznat Ampa Moyo Wema Sepetu Kuhusu Mtoto

Moja ya wanawake jasiri na maarufu nchi katika sekta ya mitindo na urembo Maznat bride amefunguka na ...

MKAZI DAR AMLILIA RC MAKONDA AMSAIDIE KUPATA NYUMBA YAKE AMBAYO ANADAI AMEDHULUMIWA

15h ago

Na Emmanul Masaka ,Globu ya jamiiMKAZI wa Mnazi Mmoja barabara ya Sukuma na Mafya jijini Dar es Sa...

Vidole Havitatumika Kupima Wanaume wa Dar Tezi Dume-Makonda

23h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa, njia itakayotumika kuwapima saratani ya tez...

VIDEO-Makonda na mambo mengine matano walivyotikisa Bunge Dodoma

24h ago

Kampeni inayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inayolenga kuwasikiliza wanawake w...

Muhimbili yataja kinachowatesa wanaume wengi, Makonda aja na kampeni ya tezi dume

1d ago

Wakati mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiandaa mkakati wa kuwapima wanaume wanaoishi jij...

Fahamu njia itakayotumika kupima tezi dume Dar

1d ago

Wakati chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14 ikitarajiwa k...

Makonda kupima wanaume tezi dume

1d ago

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ana mkakati wa kuanza kupita nyumba kwa nyumba kw...

Makonda kupima tezi dume nyumba kwa nyumba

1d ago

Wakati chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14 ikitarajiwa k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek