TASAF YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI UTEKELEZAJI MPANGO KUNUSURU KAYA MASKINI-PSSN.

By Issa Michuzi, 7d ago

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii -TASAF- na wadau wa Maendeleo wameanza mkutano jijini Dar es salaam kupitia pamoja na mambo mengine utekelezaji wa Shughuli za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini ------PSSN- unaotekelezwa na serikali kupitia TASAF. Pamoja na Mkutano huo ulioanza leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa TASAF jijini Dar es salaam , wadau hao wa Maendeleo,maafisa wa serikali na wenyeji TASAF watatembelea mkoa wa Kagera,Shinyanga,Manyara,Unguja,Pemba na Tanga ambako watakutana na viongozi wa serikali na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini kujionea namna Mpango huo unavyoendelea kucha...

ZINAZOENDANA

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu

49m ago

Bonyeza links zifuatazo Kusoma zaidi na kuapply:3 Job Opportunities at TANROADS Tanzania, Weigh bridg...

KAOLE SNAKE PARK YAIPIGA TAFU UMISETA NA UMITASHUMITA BAGAMOYO

20h ago

Mkurugenzi Mtendaji wa Kaole Snake Park, Kauthar Kihuhe(kushoto) akikabidhi msaada wa Jezi kwa Kaimu ...

MKURUGRNZI WA FADHAGET AUNGA MKONO KWA VITENDO KAULI MBIU YA TANZANIA YA VIWANDA

23h ago

*Aishukuru Serikali,SIDO kwa kutambua mchango wa kiwanda chake cha virutubisho tiba Na Said Mwishehe,...

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumapili

Bonyeza links zifuatazo:5 Job Opportunities at NMB Bank Tanzania5 Job Opportunities at UNITEC Civil C...

UZALISHAJI WA CHAKULA NCHINI UMEIMARIKA-MAJALIWA

1d ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA MJINI DODOMA

2d ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufik...

Waziri awataka wanufaika Tasaf kuchangamkia fursa

2d ago

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed amesema Zanzibar inaweza kufik...

Idriss Apata Dili Kuwa Balozi wa Usafiri wa Uber

Mchekeshaji maarufu, muigizaji  na mshindi wa Shindano la Big Brother Afrika mwaka 2014, Idris S...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek