MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA PUNDA KUONGEZA BEI

By Issa Michuzi, 7d ago

Na John Mapepele, Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amewataka wawekezaji wa viwanda vya kuchinja Punda nchini kupandisha bei ya kununua wanyama hao badala ya shilingi laki mbili ya sasa kwa punda mmoja ili kudhibiti utoroshaji wa mifugo nje ya nchi ambapo inakadiriwa kuwa zaidi ya mifugo elfu kumi inatoroshwa mipakani kwa siku kwenda nje ya nchi inakonunuliwa kwa bei ya juu. Akizungumza leo baada ya kufanya ziara ya kushitukiza katika Kiwanda cha Punda cha Hua Cheng Limited kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma alichokifungua hivi karibuni, Waziri Mpina alisema bei hiyo ...

ZINAZOENDANA

Picha 4 mara baada ya Abdu Kiba kuoa

2m ago

Msanii wa Bongo Flava, Abdu Kiba naye ameaga ukapera rasmi hapo jana April 22, 2018. Abdu Kiba ameoa ...

Siri ya Masogange kuzikwa pembezoni mwa nyumba

3m ago

Baba mzazi wa marehemu msanii Agnes 'Masogange' amesema ameamua kumzika mwanawe pembezon...

Bunge lamwita Mugabe kujibu tuhuma za ufisadi

4m ago

Robert Mugabe sasa ametakiwa kufika mbele ya bunge la Zimbabwe kwa ajili ya kutoa ushahidi kuhusiana ...

Mfahamu Siyani, jaji kijana aliyetajwa na Rais Magufuli

7m ago

Jaji Mustapher Siyani ni miongoni mwa majaji 10 walioteuliwa na Rais John Magufuli Aprili 15 na kuapi...

Sensa ya nyumbu ikolojia ya Serengeti kugharimi Sh100 mil

7m ago

Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) kwa kushirikiana na taasisi za uhifadhi za ndani ...

Bocco kanikumbusha hadithi ya straika Robin Van Persie

7m ago

KISIKI kimeondoka. Ni Arsene Wenger. Ni baada ya maisha ya shaka kati yake na mashabiki wa Arsenal ta...

Siri ya Guardiola Kubeba Ubingwa wa Ligi 2018

7m ago

MANCHESTER City imechukua ubingwa wa Ligi Kuu England kwa staili ya aina yake. Sifa nyingi ziende kwa...

Vichaka vya Gareth Bale msimu ujao

8m ago

KAMA maneno yanayosemwa yatakuwa kweli, basi Gareth Bale hatakuwapo kwenye kikosi cha Real Madrid baa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek