SERIKALI KULINDA THAMANI YA SHILINGI KWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZA NDANI

By Issa Michuzi, 7d ago

Na: WFMSerikali imeeleza kuwa inalinda thamani ya Shilingi kwa kudhibiti mfumuko wa bei ya huduma na bidhaa, kuhamasisha usafirishaji na uuzaji wa bidhaa zilizoongezwa thamani nje ya nchi kupitia program ya '€œExport Credit Guarantee Scheme'€ na kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za Kigeni.Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) alipokuwa akijibu swali la Msingi la Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Devotha Mathew Minja aliyetaka kujua Serikali ina mpango gani wa kulinda thamani ya Shilingi kwa kuwa wapo wamiliki wa maj...

ZINAZOENDANA

Bajeti mbili, mambo saba kutikisa Bunge

20m ago

Bajeti za Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Miche...

Ni wiki ya Mbarawa, Mwakyembe bungeni

1h ago

MKUTANO wa Bunge la 11 unaendelea leo, ambapo Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya ...

Kashfa ya upotevu wa fedha Zimbabwe,Kamati ya Bunge yapanga kumuita aliyekuwa Rais Robert Mugabe kujibu

19h ago

Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele...

Ushindi Yanga SC watinga bungeni

2d ago

KUFUATIA Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kuitoa Welayta Dic...

Sakata la Sh1.5 trilioni, JPM anena

2d ago

Wakati Rais John Magufuli akimuuliza CAG na katibu mkuu wa Wizara ya Fedha swali kuhusu madai ya kuwa...

Baba Daimond Amwakia Daimond Kisa Video Yake ya Utupu Iliyosambaa Mitandaoni

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' ...

Serikali yatenga bil. 41/- kudhibiti matibabu nje

2d ago

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepanga kuimarisha huduma za matibabu ya...

MATUKIO KATIKA PICHA MJINI DODOMA BUNGENI 20.4.2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mh...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek