Ndoa ya Kiba Yamtoa Povu Dully Sykes

By Udaku Specially, 7d ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya , Dully Sykes, ametoa ya moyoni baada ya kutoalikwa harusi ya msanii mwenzake Alikiba, ambaye kwa asilimia kubwa amehusika kwenye sanaa yake ya muziki mpaka kufikia alipo sasa.Akizungumza na Big Chawa wa Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes amesema hajapewa taarifa yoyote kutoka kwa Ali Kiba licha ya kuwa mtu wake wa karibu, zaidi ya kuona mitandaoni na kuthibitishiwa na watu wa Mombasa.'€œMimi hajaniambia chochote na wala sijui, nimeona tu mitandaoni na nimepigiwa simu na dada yangu kutoka Mombasa, amenitaarifu kwamba Ali anaenda kuoa kule, lakin...

ZINAZOENDANA

Katika Watanzania Mil54, Ay na Alikiba Hawajaona Mwanamke Tanzania:-Mrisho mpoto

Msanii wa mashairi Tanzania Mrisho Mpoto amefunguka na kutoa maoni yake kuhusu swala la wasanii kuona...

Picha 4 mara baada ya Abdu Kiba kuoa

6m ago

Msanii wa Bongo Flava, Abdu Kiba naye ameaga ukapera rasmi hapo jana April 22, 2018. Abdu Kiba ameoa ...

Msiba wa Masogange Wazima Ndoa ya Abdu Kiba

  MSIBA wa aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald 'Masogange' aliyefariki I...

Msanii wa Bongo Movie kuzimia msibani huku kabana kitambaa mkononi kwaibua gumzo

36m ago

Hapo jana April 22, 2018 mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ aliagwa katika viwan...

Okoa Ndoa yako Sasa...Umepungukiwa na Nguvu za Kiume na Unashindwa Kupanda Mlima Vizuri

52m ago

OKOA NDOA YAKO SASA : JE UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO AU MPENZI WAKO HAKUTIMIZII...

Abdul Kiba Afata Nyayo za Kaka Yake(+picha)

Ikiwa siku chache zimepita tangu kufunga ndoa kwa msanii mkubwa Duniani Alikiba, mdogo wake pia anaej...

New Music: Rayvanny X S2kizzy - Pochi Nene

2h ago

Msanii wa muziki Bongo, Rayvany ameachia ngoma mpya ‘Pochi Nene’ akishirikiana na produce...

Ali Kiba na Diamond Uso Kwa Uso Kwenye Msiba Wa Masogange

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na hasimu wake namba moja msanii mwenzake Ali Kiba wam...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek