Huu Hapa Ujumbe wa Makonda kwa Lulu "Kumbe Wanaokuombea Mema Wako Wachache"

By Udaku Specially, 7d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Elizabeth Michael (Lulu) huku akimwambia kuwa wanaomuombea mema wachache ila wenye nyuso za huzuni ni wengi.Makonda ameeleza kuwa kwa kuwa Mungu ametenda basi watakuja na nyuso za furaha japo hazina mahusiano na mioyo yao.RC Makonda ametoa ujumbe huo leo, Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;Kumbe wanaokuombea mema wako wachache ila wenyenyuso za huzuni wako wengi japo hawamaanishi. Na kwakua Mungu ametenda basi watakuja tena na nyuso za furaha japo hazina mahusiano na mioyo yao. Kwakifupi hii ndiy...

ZINAZOENDANA

MKAZI DAR AMLILIA RC MAKONDA AMSAIDIE KUPATA NYUMBA YAKE AMBAYO ANADAI AMEDHULUMIWA

15h ago

Na Emmanul Masaka ,Globu ya jamiiMKAZI wa Mnazi Mmoja barabara ya Sukuma na Mafya jijini Dar es Sa...

Vidole Havitatumika Kupima Wanaume wa Dar Tezi Dume-Makonda

23h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa, njia itakayotumika kuwapima saratani ya tez...

VIDEO-Makonda na mambo mengine matano walivyotikisa Bunge Dodoma

24h ago

Kampeni inayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda inayolenga kuwasikiliza wanawake w...

Muhimbili yataja kinachowatesa wanaume wengi, Makonda aja na kampeni ya tezi dume

1d ago

Wakati mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiandaa mkakati wa kuwapima wanaume wanaoishi jij...

Fahamu njia itakayotumika kupima tezi dume Dar

1d ago

Wakati chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14 ikitarajiwa k...

Makonda kupima wanaume tezi dume

1d ago

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ana mkakati wa kuanza kupita nyumba kwa nyumba kw...

Makonda kupima tezi dume nyumba kwa nyumba

1d ago

Wakati chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14 ikitarajiwa k...

RC MAKONDA AZINDUA ZOEZI LA UTOAJI CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia sar...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek