Mashabiki Wamshambulia Daimond Kisa Mobetto "Huu ni Udhalilishaji kwa Wanawake"

By Udaku Specially, 6d ago

Kwa watu wanaotumia mitandaoni ya kijamii husasani Snapchat na Instagram kwa siku ya jana kulikuwa na video mbili zinasambaa za msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akiwa na Mzazi mwenzake Hamissa Mobetto na nyingine akiwa na mwanamke mmoja mwenye asili ya Kihindi akimtomasa tomasa.Video hizo zilizua gumzo kwa usiku wa jana kwenye mitandao ya kijamii wengi wakitafsiri kama kitendo cha udhalilishaji kwa wanawake hususani kwa mtu mwenye jina kubwa kama Diamond Platnumz.Hata hivyo, wapo baadhi ya mashabiki wake ambao wameona kitendo hicho ni cha kawaida na wengine wamesema hawapo kuf...

ZINAZOENDANA

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee 'Mimi Mars', amefu...

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa 'Roma Mkatoliki'...

HUYU NDIYE MASOGANGE TUNAYEMJUA

KIFO cha ghafla cha mwa­namitindo au Video Queen wa Bongo Fleva, Agness Ger­ald almaarufu Masog...

New Video: Bright ft Jolie - Mazonge

12h ago

Msanii Bright ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Mazonge’ ambayo amemshirikisha Jolie, vi...

Lulu Diva Ajikuta Akimwaga Chozi Hadharani Kisa Hiki Hapa

12h ago

MWANA-MUZIKI Lulu Abass 'Lulu Diva' hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi w...

Video: Inasikitisha Vilio, Simanzi Vyatanda Msiba wa Masogange

12h ago

Familia ya Aliekuwa Video Vixen, Maarufu Agness Gerald Maarufu kama Masogange wamekubaliana na Tarati...

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan 'Zari The Boss Lady' an...

Lynn: Siolewi Bongo, Wanaume Wababaishaji

VIDEO Queen ambaye alishawahi kukwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki maarufu, Nasibu Abdul ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek