Mashabiki Wamshambulia Daimond Kisa Mobetto "Huu ni Udhalilishaji kwa Wanawake"

By Udaku Specially, 7d ago

Kwa watu wanaotumia mitandaoni ya kijamii husasani Snapchat na Instagram kwa siku ya jana kulikuwa na video mbili zinasambaa za msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akiwa na Mzazi mwenzake Hamissa Mobetto na nyingine akiwa na mwanamke mmoja mwenye asili ya Kihindi akimtomasa tomasa.Video hizo zilizua gumzo kwa usiku wa jana kwenye mitandao ya kijamii wengi wakitafsiri kama kitendo cha udhalilishaji kwa wanawake hususani kwa mtu mwenye jina kubwa kama Diamond Platnumz.Hata hivyo, wapo baadhi ya mashabiki wake ambao wameona kitendo hicho ni cha kawaida na wengine wamesema hawapo kuf...

ZINAZOENDANA

BABA MASOGANGE ASIMULIA ALIVYOONA  KIFO CHA MWANAWE

2m ago

  PENDO FUNDISHA (MBEYA) Na JOHANES RESPICHIUS BABA mzazi wa aliyekuwa msanii wa video (Video qu...

Msiba wa Masogange Wazima Ndoa ya Abdu Kiba

  MSIBA wa aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald 'Masogange' aliyefariki I...

Msanii wa Bongo Movie kuzimia msibani huku kabana kitambaa mkononi kwaibua gumzo

36m ago

Hapo jana April 22, 2018 mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ aliagwa katika viwan...

Penzi la Mobeto na Diamond Lazidi Kupamba Moto

54m ago

Hata baada ya kupelekana mpaka polisi hakuna alikuja kukaa na kuamini kuwa msanii diamond platinumz n...

BELLE 9 ASIMULIA ALIVYOMPA JINA AGNESS MASOGANGE

MKALI wa Bongo Fleva, Abednego Damian 'Belle 9′ ndiye 'aliyembatiza' jina la...

Sanchez amtumia sms Kocha Wenger

60m ago

ALEXIS Sanchez amesema hakutaka kutumia mitandao ya kijamii kuandika kitu kuhusu Arsene Wenger na ali...

New Music: Rayvanny X S2kizzy - Pochi Nene

2h ago

Msanii wa muziki Bongo, Rayvany ameachia ngoma mpya ‘Pochi Nene’ akishirikiana na produce...

Kitambaa cha Mkononi Cha rammy Champotoa Povu Irene Paul

Mwanadada Irene Paul ameonyeshwa kutkupendezwa na picha iliyosambaa sana katika mitandao ya kijamii i...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek