Hivi Ndivyo Lulu Alivyosheherekea Birthday Akiwa Gerezani ....Atoa Zawadi kwa Watoto Wanaopatiwa Matibabu Muhimbili

By Udaku Specially, 7d ago

April 16 kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa Elizabeth 'Lulu' Michael ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka miwili.Katika kusherehekea siku hii, mrembo huyo ameamua kutoa zawadi kwa watoto ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Muhimbili.Zawadi hizo ziliwakilishwa na mama yake mzazi pamoja na msanii mwenzake wa karibu zaidi Dokta Cheni. Lulu pia ametoa ujumbe wa kuwafariji wagonjwa hao pamaoja na wazazi wao.Ujumbe huo ambao ulisomwa kwa niaba na Dokta Cheni umesema, '€œNawapenda sana watoto na nawaombea kwa Mungu. Naamini wakiwa huru kumuom...

ZINAZOENDANA

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO CALVIN GWABARA

57m ago

Na: Amina Hezron, MorogoroWito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti na kuwachukulia hatu...

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO

CALVIN GWABARA Na: Amina Hezron,  Morogoro Wito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti n...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

3h ago

Vijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vitendo kwa manufaa ya kizazi hiki na kija...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

4h ago

Frank Mvungi- MAELEZO, DodomaVijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vitendo kwa m...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

14h ago

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma Vijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vitendo kwa...

Wanafunzi Tanzania wanavyopambana na unyanyasaji kwenye Usafiri

16h ago

Madai ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya walimu na wanafunzi katika shule za Nigeria huwa zinachukua...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

Frank Mvungi- MAELEZO,  Dodoma  Vijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vite...

KAOLE SNAKE PARK YAIPIGA TAFU UMISETA NA UMITASHUMITA BAGAMOYO

20h ago

Mkurugenzi Mtendaji wa Kaole Snake Park, Kauthar Kihuhe(kushoto) akikabidhi msaada wa Jezi kwa Kaimu ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek