Mwenyekiti Wake Chadema Atumbuliwa

By Udaku Specially, 7d ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia baraza kuu la uongozi Mkoa wa Morogoro limemvua James Mkude nafasi aliyekuwa akiishika ya Mwenyekiti wa Wilaya ya Morogoro kutokana na tuhuma za kujihusisha na matukio yaliyo kinyume na katiba ya chama hicho.Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mlimba Bi. Suzani Kiwanga na kusema hatua hiyo imekuja baada ya kujiridhisha na tuhuma zilizo wasilishwa ndani ya chama hicho ingawa ni tuhuma binafsi zinazomkabili mwenyekiti huyo aliyesimamishwa na kwamba hazihusiani na chama.Akitoa maadhimio ya...

ZINAZOENDANA

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

13h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utaw...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

17h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Hatma ya askari waliokuwa wameshikiliwa kuhusu mauaji ya Akwilina

2d ago

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amelifunga rasmi jalada la kesi ya aliyekuwa mwan...

CHADEMA wamjibu Polepole kuhusu tuhuma za ufisadi wa bilioni 2 na hati chafu (video)

3d ago

Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Katibu Mwenezi na Itifaki wa CCM, Humphrey Polepole kuwa CHADEMA ni m...

Chadema: Si Trilioni 1.5 tu Kuna Pesa Kibao Zimepigwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanya mkutano na waandishi wa habari na kuudai kwamb...

Viongozi saba wa Chadema waripoti polisi

3d ago

Ni viongozi tisa wa Chadema waliosomewa mashtaka ya uchochezi na kukaidi amri ya polisi.

Katibu Mkuu CHADEMA : Sharti la kuripoti kwa RPC ni gumu

3d ago

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent Mashinji amesema sharti la kuripoti kituo Kikuu cha Polisi Centra...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek