Serikali yabanwa bungeni kuhusu thamani ya Shilingi

By Udaku Specially, 34w ago

Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Devotha Minja ameitaka Serikali kutoa majibu ina mpango gani kuchukua hatua ili kulinda thamani ya shilingi kama nchi nyingine zinavyolinda fedha zao.Mbunge huyo amesema licha ya kuwepo kwa matamko mengi lakini bado maeneo mengi Watanzania wanalazimishwa kutumia dola badala ya shilingi ya Tanzania.Akijibu swali hilo bungeni leo Jumatatu, Aprili 16, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji amesema matumizi ya fedha za kigeni sambamba na shilingi ya Tanzania yanasimamiwa na Sheria ya Matumizi kwa Fedha za Kigeni ya 1992.Dk Kijaji amesema Desemba 2017 waz...

ZINAZOENDANA

Serikali kuongeza muda wa likizo ya uzazi

26w ago

Serikali inaandaa utaratibu utakuowezesha kuongeza muda wa likizo ya uzazi kwa akinamama waajiriwa am...

Spika Ndugai atambulisha cheo chake chengine

26w ago

Spika wa  Bunge la Tanzania, Job Ndugai katika hali ya utani leo bungeni  amewataka wabunge wak...

Serikali Yaamua Kuongeza Likizo ya Uzazi kwa Akinamama

26w ago

Serikali inaandaa utaratibu utakuowezesha kuongeza muda wa likizo ya uzazi kwa akinamama waajiriwa am...

Serikali Yaamua Kuongeza Likizo ya Uzazi kwa Akinamama

26w ago

Serikali inaandaa utaratibu utakuowezesha kuongeza muda wa likizo ya uzazi kwa akinamama waajiriwa am...

Deni La Taifa Kufanyiwa Uhakiki Mwakani

26w ago

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amesema mwaka ujao wa fedha, Tanzania itafanyiwa ...

WANAOJIFUNGUA WATOTO NJITI KUONGEZEWA LIKIZO

26w ago

Na Mwandishi Wetu Serikali imesema itayafanyia kazi maoni ya wabunge kuhusu muda wa likizo za watumis...

DENI LA TAIFA KUFANYIWA UHAKIKI MWAKANI

26w ago

Mwandishi Wetu, Dodoma        | Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji ...

DENI LA TAIFA KUFANYIWA UHAKIKI MWAKA UJAO WA FEDHA

26w ago

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amesema mwaka ujao wa fedha, Ta...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek