Hatimaye Abdul Nondo Aibuka na Kutoa Ushauri Huu kwa Serikali

By Udaku Specially, 7d ago

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania (TSNP), Mahmud Abdul Nondo amefunguka na kuitaka serikali ya Tanzania kuiga serikali ya nchini Kenya ambayo imeweza kutoa taulo za kike kwa wanafunzi wote wa kike waliopo mashuleni.Abdul Nondo amesema kuwa yeye anaamini kuwa serikali ya Tanzania pia inaweza kufanikisha jambo hilo kwa kuwa wanafunzi wengi wa kike wanakosa kufika mashuleni kipindi ambacho wapo kwenye siku zao na kuathiri masomo yao."Bado tunaamimi hata Serikali ya Tanzania, inao uwezo mkubwa saana wa kutoa sanitary pads (taulo) bure kwa wanafunzi wa kike dada zetu,...

ZINAZOENDANA

Bajeti mbili, mambo saba kutikisa Bunge

22m ago

Bajeti za Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Miche...

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO CALVIN GWABARA

58m ago

Na: Amina Hezron, MorogoroWito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti na kuwachukulia hatu...

Ni wiki ya Mbarawa, Mwakyembe bungeni

1h ago

MKUTANO wa Bunge la 11 unaendelea leo, ambapo Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya ...

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO

CALVIN GWABARA Na: Amina Hezron,  Morogoro Wito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti n...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

3h ago

Vijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vitendo kwa manufaa ya kizazi hiki na kija...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

4h ago

Frank Mvungi- MAELEZO, DodomaVijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vitendo kwa m...

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

14h ago

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma Vijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vitendo kwa...

MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA - DK. KIGWANGALLA

16h ago

Na Hamza Temba-Ngorongoro, ArushaMashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatat...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek