Baba Amtupa Mtoto Wake Kutoka Juu ya Bati la Nyumba Kisa Hiki Hapa

By Udaku Specially, 7d ago

Mwanaume mmoja kutoka nchini Afrika Kusini ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari duniani kwa kitendo alichokifanya cha kushangaza baada ya kumtupa mtoto wake kutoka juu ya bati la nyumba yake.Inaelezwa kuwa mwanaume huyo ambaye ana umri wa miaka 38 nyumba yake ilitakiwa kubomolewa na polisi kutokana na kuishi katika makazi 'haramu' na katika kufanyika kwa zoezi hilo aliamua kupinga nyumba yake kubomolewa kwa kutishia kumtupa mtoto wake.Mwanaume huyo alipanda juu ya nyumba yake akiwa amemshikilia mtoto wake huyo wa kike wa mwaka mmoja na pindi askari alipomsogelea alimwach...

ZINAZOENDANA

Katika Watanzania Mil54, Ay na Alikiba Hawajaona Mwanamke Tanzania:-Mrisho mpoto

Msanii wa mashairi Tanzania Mrisho Mpoto amefunguka na kutoa maoni yake kuhusu swala la wasanii kuona...

BABA MASOGANGE ASIMULIA ALIVYOONA  KIFO CHA MWANAWE

1m ago

  PENDO FUNDISHA (MBEYA) Na JOHANES RESPICHIUS BABA mzazi wa aliyekuwa msanii wa video (Video qu...

FATMA KARUME: HAKUNA WA KUIDHIBITI TLS

1m ago

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kumtaka Jaji Mkuu wa Tan...

ACT YAMFICHA ZITTO KABWE

1m ago

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM CHAMA cha ACT- Wazalendo, kimemficha kiongozi wa chama hicho, Zitto K...

Picha 4 mara baada ya Abdu Kiba kuoa

5m ago

Msanii wa Bongo Flava, Abdu Kiba naye ameaga ukapera rasmi hapo jana April 22, 2018. Abdu Kiba ameoa ...

Siri ya Masogange kuzikwa pembezoni mwa nyumba

7m ago

Baba mzazi wa marehemu msanii Agnes 'Masogange' amesema ameamua kumzika mwanawe pembezon...

Bunge lamwita Mugabe kujibu tuhuma za ufisadi

7m ago

Robert Mugabe sasa ametakiwa kufika mbele ya bunge la Zimbabwe kwa ajili ya kutoa ushahidi kuhusiana ...

Mfahamu Siyani, jaji kijana aliyetajwa na Rais Magufuli

11m ago

Jaji Mustapher Siyani ni miongoni mwa majaji 10 walioteuliwa na Rais John Magufuli Aprili 15 na kuapi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek