Hakuna Harmonize Bila Diamond- Harmonize

By Udaku Specially, 1w ago

Msanii kutoka WCB, Harmonize amefunguka tetesi za kumiliki mkwanja mrefu kumzidi Diamond.Muimbaji huyo anayefanya vizuri na ngoma 'Kwa Ngwaru' ameiambia Radio Five kuwa stori hizo zipo tu mtaani ila hazina ukweli wowote.'€œDiamond kwa Harmonize ni kama mzazi, hakuna Harmonize bila Diamond, so mimi hata iweje atabaki kuwa Diamond, so hizi ni stori ambazo zipo mtaani,'€ amesema.Ngoma ya Kwa Ngwaru ambayo Harmonize kamshirikisha Diamond, ni ya pili kufanya pamoja baada ya 'Bado' iliyotoka mwaka 2016.

ZINAZOENDANA

Itazame hapa video ya mchekeshaji Erick Omondi - Kiwaru (Kwangwaru remix)

3h ago

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Erick Omondi amekuja na video mpya ya wimbo alioupa jina Kiwaru. Wim...

Harmonize Awasihi Mashabiki Wasimchonganishe na Ali Kiba

11h ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri na ngoma yake ya ' Kwa ngwaru' Harmonize am...

Video: Eric Omondi airudia 'Kwa Ngwaru' ya Harmonize na Diamond, itazame hapa

1d ago

Mchekesha kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amezidi kuonyesha ukubwa wa kipaji chake mara baada ya kua...

Ali Kiba na Diamond Uso Kwa Uso Kwenye Msiba Wa Masogange

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na hasimu wake namba moja msanii mwenzake Ali Kiba wam...

Diamond na Harmonize watoa heshima kwa mwili wa Masogange, Mamia wazimia Leaders (+Video)

3d ago

Wasanii kutoka WCB, Diamond Platnumz na Harmonize ni moja ya wasanii waliojitokeza katika kuuaga mwil...

Harmonize Ft Diamond Platnumz - KWANGWARU (Official Music Video)

 Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchoka...

Mimi si Shabiki wa WCB Bali Daimond- Wolper Afunguka

Msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuhusu ukaribu wake na label ya WCB kwa sasa.Wik...

Jacqueline Wolper aeleza ukweli kuhusu kutoifagilia WCB

1w ago

Wiki iliyopita yalisambaa baadhi ya maneno yakisema kuwa Wolper amesema kuwa yeye sio shabiki wa WCB ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek