Maafa ya Mvua: RC Makonda Ataka Mamlaka Husika Kufunga Shule

By Udaku Specially, 1w ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameziomba mamlaka za elimu kufunga shule kwa siku mbili kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.Makonda amesema hayo leo Jumatatu, Aprili 16 alipokuwa akitembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mvua zinazoendelea kunyesha  kwa siku tatu mfululizo jijini Dar es Salaam.Amesema mvua zikinyesha miundombinu inaharibika ikiwamo barabara na shule, hivyo wanafunzi wabaki majumbani hadi hali itakapotengemaa.'€œNimeziomba mamlaka za elimu kufunga shule kwa siku mbili, hadi tutakapowaambia siku ya Jumatano kulingana na hali itakavyokuwa kuwa, kwa ...

ZINAZOENDANA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

10m ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege...

PUMA YAZINDUA MPANGO WA MAFUNZO USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI

2h ago

      Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imezindua kampeni maalumu ya m...

Mafuriko yaendelea kutatiza shughuli nchini Kenya

3h ago

Biashara nyingi mjini Thika zilitatizika baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia Jumanne.

MUHAS YAZINDUA KITABU CHA MAFUNZO YA SHAHADA UDAKTARI

5h ago

Veronica Romwald, Dar es Salaam Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kimez...

MWENYEKITI HALMASHAURI YA MOROGRO ATAJA MBINU KUTUA MIGOGORO YA ARDHI

5h ago

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii IMEELEZWA watu pekee wanaoweza kumaliza migogoro ya ardhi nchini...

KITENGO CHA MAGONJWA YA DHARURA MUHAS WAZINDUA KITABU KWA AJILI YA KUFUNDISHIA

5h ago

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Andrea Barnabas Pem...

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

5h ago

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. ...

RC Wangabo aonya kuhusu mimba mashuleni na Saratani ya mlango wa Kizazi

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akimhoji mwanafunzi aliyepata chanjo Gift Ndenje wakati wa ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek