Naibu Spika: Hakuna Dhambi Kujadili Ripoti ya CAG

By Udaku Specially, 7d ago

Wakati mjadala ukiendelea kuhusu mawaziri kujibu hoja zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), viongozi hao wameendelea kutoa ufafanuzi.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina na wa Kilimo, Dk Charles Tizeba leo Jumatatu Aprili 16, 2018 wametoa ufafanuzi wa hoja kuhusu wizara zao mjini Dodoma.Kabla ya Mpina na Dk Tizeba kutoa ufafanuzi; Waziri wa Habari, Dk Harrison Mwakyembe alisema sheria ya ukaguzi wa hesabu haimzuii waziri kueleza kilichoainishwa katika ripoti ya CAG.'€œHakuna dhambi kutoa maelezo maana ukaguzi wake ni wa mwaka 2016/17. Hivi tangu wakati h...

ZINAZOENDANA

Bajeti mbili, mambo saba kutikisa Bunge

22m ago

Bajeti za Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Miche...

Ni wiki ya Mbarawa, Mwakyembe bungeni

1h ago

MKUTANO wa Bunge la 11 unaendelea leo, ambapo Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya ...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

13h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

17h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Kashfa ya upotevu wa fedha Zimbabwe,Kamati ya Bunge yapanga kumuita aliyekuwa Rais Robert Mugabe kujibu

19h ago

Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele...

Bunge lishughulike na wajibu wake kwa CAG

21h ago

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bunge ndicho chombo chenye mamlaka ya kikati...

Halima Mdee Afunguka ya Moyoni Kuhusu Ripoti ya CAG

Mbunge wa Jimbo la Kawe (CHADEMA), Halima Mdee ameendeleza hoja kuhusu matumizi ya fedha ambazo hazij...

Ushindi Yanga SC watinga bungeni

2d ago

KUFUATIA Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kuitoa Welayta Dic...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek