Hakuna Harmonize Bila Diamond, Yeye ni Kama Mzazi-Harmonize

By Ghafla Tanzania, 7d ago

Msanii Hrmonize ambae  anaefanya vizuri na wimbo wake mpya wa Kwangaru ambao amemshirikisha bosi wake diamond, harminize amefunguka na kukanusha stori zinazokuwa zinasambaa katika mitandao kuwa yeye ndio ana mkwanja mrefu kuliko bosi wake, Harmonize amesema kuwa hakuna kitu kama hicho kwa sababu yeye kwa diamond ni kama mtoto kwa baba kwaio maneno yanayosambaa katika mitandao hayana ukweli wowote kuhusu hali zao za kiuchumi kulinagana au yeye kumzidi bosi wake. ‘Diamond kwa harmonize ni kama mzazi , hakuna Harmonize bila Diamond,kwaio hata iweje atabaki kuwa Diamond tu.hizo zingine ni...

ZINAZOENDANA

Msanii wa Bongo Movie kuzimia msibani huku kabana kitambaa mkononi kwaibua gumzo

35m ago

Hapo jana April 22, 2018 mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ aliagwa katika viwan...

Penzi la Mobeto na Diamond Lazidi Kupamba Moto

53m ago

Hata baada ya kupelekana mpaka polisi hakuna alikuja kukaa na kuamini kuwa msanii diamond platinumz n...

Ali Kiba na Diamond Uso Kwa Uso Kwenye Msiba Wa Masogange

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na hasimu wake namba moja msanii mwenzake Ali Kiba wam...

Diamond na Harmonize watoa heshima kwa mwili wa Masogange, Mamia wazimia Leaders (+Video)

14h ago

Wasanii kutoka WCB, Diamond Platnumz na Harmonize ni moja ya wasanii waliojitokeza katika kuuaga mwil...

Masogange awakutanisha Kiba, Diamond

18h ago

Wasanii wa Bongo Freva, Ali Kiba na Naseeb Abdul 'Diamond' wamekutana na wamesalimiana kwa kupeana mi...

Diamond Platnumz na Ali Kiba Wapeana Mikono...Bifu Limekwisha?

18h ago

MATUKIO KWA PICHA :@officialalikiba na @diamondplatnumz wakipeana mikono katika Tukio la Kuaga mwili ...

Diamond na Ali Kiba Walivyokutana Kumuaga Masogange

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ni miongoni mwa wasanii waliofika ...

Msiba wa Masogange Wawakutanisha Diamond, Ali Kiba

18h ago

Wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba wamekutana katika msiba wa Agn...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek