Mvua yaua watu tisa Dar

By Dewji Blog, 7d ago

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema watu tisa wamepoteza maisha katika nyakati tofauti, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Taarifa hiyo imetolewa leo kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa. '€œMnano tarehe 14 Aprili 2018 majira ya saa tatu usiku huko maeneo ya Segerea mtaa wa mji mwema watu wawili ambao ni Grace@ Mama Elias (30) na Adulrazak Ally (4) wamefariki baada ya kuangukiwa na uzio wa ukuta wakiwa wamelala ndani ya nyumba. Ukuta huo wa uzio wa nyumba [&#...

ZINAZOENDANA

Mbeya City Yakataa Kufungwa Kwao Yagawana Point na Yanga

49m ago

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga, wamebanwa mbavu ugenini na Mbeya...

MBUNGE MAULID MTULIA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO KATA ZA MSISIRI A, B, NA KAMBANGWA KINONDONI

15h ago

MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia(CCM), ametembelea maeneo ambayo yamek...

Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi, watuhumiwa waachiwa Huru

21h ago

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo ...

TMA yasema mvua kupungua nchini

21h ago

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya mvua katika maeneo mengi ya nchi itapungua kua...

Naibu Waziri: Jeshi la Polisi Halina Muda wa Kulinda Maandamano

22h ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

MBUNGE KINONDONI APIGA MARUFUKU UJENZI WA NYUMBA KATIKA MABWAWA

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa , mtaa wa Msisiri A Jumanne Mbena akielezea changamoto za mafuriko amb...

Zanzibar salama, kuna amani, utulivu

23h ago

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan amesema wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanza...

Ongezeko la Maradhi ya Matumbo Zanzibar lawashtua viongozi

1d ago

Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari juu ya Ongezeko la Maradhi ya Matumbo ya kuharisha ambayo yameanza...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek