Birthday ya Lulu Kufanyika Muhimbili

By Ghafla Tanzania, 5w ago

Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa  ya msanii Lulu Michael ambae kwa upande wake hatoweza kuifurahia sana kutokana na mazingira anayoyapitia kwa sasa ya kutumikia kifungo chake cha miaka miwili gerezani na kwamba hawezi kuungana na watu anaowapenda. Hata hivyo familia yake kwa kushirikiana na watu wake wa karibu na baadhi ya mashabiki wameamua kufanya sherehe hiyo kwa kwenda katika hospitali ya taifa ya muhmbili na kusherekea sikukuu hiyo na wagonjwa waliopoa hospitalini hapo. Wakionekana katika mazingira ya hospitali upand wa wagonjwa wenye vichwa vikubwa , wawakilishi wa lulu wat...

ZINAZOENDANA

Mbunge Chadema hoi, apelekwa Muhimbili

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Mwalimu Kasulu Bilango, anayekabiliwa na ma...

Mwanaume Kuchepuka Ndivyo Walivyoumbwa na Mungu: Shamsa Ford

19h ago

Muigizaji wa Bongo fleva Shamsa Ford amefunguka na kudai kuwa mwanaume yoyote lazima achiti/ achepuke...

Siamini Kama Hamisa Kapigwa na Mama Diamond;- Mama Mobeto

20h ago

Mama mzazi wa mwanandada Hamisa Mobeto amekanusha kabisa tetesi zinazodi kusambaa katika mitandao ya ...

Baba Kaumba Aibuka Ampa Masharti Mazio Lulu

22h ago

MUNGU ametenda! Ndiyo maneno ya kwanza kutoka kinywani kwa baba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibong...

Manara kaeleza kilichompata baada ya Okwi kukosa penati

23h ago

Juzi kati Simba ilicheza dhidi ya Kagera Sugar mchezo ambao ulikuwa na sherehe na shamrashamra za mab...

Mameneja Wa Diamond Wadaiwa Kuhusika na Kusambaza Video Ya Ngono Ya Nandy

Kama utakumbuka mwezi uliopita jiji zima lilizizima baada ya video ya ngono iliyomuhusisha msanii wa ...

MOI Kulipa Fidia ya Tsh. Mil. 100 kwa Kupasua Kichwa Badala ya Mguu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili...

Wastara Amlipua Mange Kimambi........ Asema Ndiye Mbaya Wake Anayemchafua

Msanii wa muziki wa filamu bongo Wastara Juma amemtaja mtu ambaye yeye amemuita mbaya wake, anayemcha...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek