Birthday ya Lulu Kufanyika Muhimbili

By Ghafla Tanzania, 7d ago

Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa  ya msanii Lulu Michael ambae kwa upande wake hatoweza kuifurahia sana kutokana na mazingira anayoyapitia kwa sasa ya kutumikia kifungo chake cha miaka miwili gerezani na kwamba hawezi kuungana na watu anaowapenda. Hata hivyo familia yake kwa kushirikiana na watu wake wa karibu na baadhi ya mashabiki wameamua kufanya sherehe hiyo kwa kwenda katika hospitali ya taifa ya muhmbili na kusherekea sikukuu hiyo na wagonjwa waliopoa hospitalini hapo. Wakionekana katika mazingira ya hospitali upand wa wagonjwa wenye vichwa vikubwa , wawakilishi wa lulu wat...

ZINAZOENDANA

Penzi la Mobeto na Diamond Lazidi Kupamba Moto

54m ago

Hata baada ya kupelekana mpaka polisi hakuna alikuja kukaa na kuamini kuwa msanii diamond platinumz n...

Sanchez amtumia sms Kocha Wenger

60m ago

ALEXIS Sanchez amesema hakutaka kutumia mitandao ya kijamii kuandika kitu kuhusu Arsene Wenger na ali...

Maznat Ampa Moyo Wema Sepetu Kuhusu Mtoto

Moja ya wanawake jasiri na maarufu nchi katika sekta ya mitindo na urembo Maznat bride amefunguka na ...

Kitambaa cha Mkononi Cha rammy Champotoa Povu Irene Paul

Mwanadada Irene Paul ameonyeshwa kutkupendezwa na picha iliyosambaa sana katika mitandao ya kijamii i...

TCRA kuibana mitandao ya kijamii

4h ago

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeviagiza vyombo vya habari nchini ikiwamo mitandao ya kijam...

Maisha ya Ulaya jinsi yalivyo 'pasua kichwa'

21h ago

Asubuhi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, mitandao ya kijamii ilifurika habari ya majonzi kutoka Ji...

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu

22h ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Muhimbili yataja kinachowatesa wanaume wengi, Makonda aja na kampeni ya tezi dume

1d ago

Wakati mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiandaa mkakati wa kuwapima wanaume wanaoishi jij...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek