Bocco, Okwi kuiongoza Simba SC dhidi ya Tanzania Prisons kikosi kamili hiki hapa

By Bongo 5, 34w ago

Vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Simba imetangaza kikosi chake kitakacho shuka uwanjani hii leo kuwakabili Tanzania Prisons. Kwenye kikosi hicho cha Simba SC wachezaji watakao anza ni, John Bocco, Emmanuel Okwi, Shiza Kichuya, Shomari Kapombe, Mkude, Zimbwe JR, Asante Kwasi, Mlipili, Juuko, Nyoni na Aishi Manula. Kikosi cha akiba wapo, Nduda, […]

ZINAZOENDANA

Lechantre kuwafanyia 'surprise' mastaa Simba

26w ago

Kocha wa Simba Mfaransa Pierre Lechantre ambaye aliwaacha wachezaji wake katika mashindano ya SportPe...

Straika ajiapiza Simba

26w ago

Hii ni mara ya pili kwa Kaheza kuichezea Simba, awali ilimuibua kwenye timu ya vijana na alipopandish...

Video: Alikiba aeleza machungu yake kwa Yanga, aipongeza Simba kwa hili

26w ago

Msanii Alikiba amefunguka kuhusu machungu yake kwaklabu yake anayoshabikia ya Yanga na kuongeza kwa k...

Angalia namna MO alivyowafanyia mastaa Simba!

26w ago

Simba ndiyo mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu na wamemaliza kwenye nafasi ya pili katika michuano y...

Wanyama apanga kurudi Tz kutazama Kagame Cup

26w ago

NAHODHA wa Kenya na kiungo fundi wa Tottenham Hotspurs amepanga kurejea tena nchini wiki mbili zijazo...

Lechantre kuwafanyia 'surprise' mastaa Simba

26w ago

Zawadi hizo zinazotambulika kama MO Simba Awards, zinafanyika kwa mara ya kwanza katika kikosi hiko.

Hatma ya Salah ndani saa 24

26w ago

Mshambuliaji huyo aliumia bega wakati wa fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya Liverpool na Real Madrid

Nyuma ya pazia kipigo cha Simba

26w ago

Everton watakwea pipa hadi jijini Merseyside, England na kuwaacha Simba wakiugulia

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek