Ndoa ya Ali Kiba Yamtoa Dully Sykes Mapovu

By Ghafla Tanzania, 5w ago

Msanii mkongwe wa kizazi kipya Dully Sykes amefunguka na kutoa yaliyo moyoni mwake kuhusu kutokualikwa katika harusi ya msani Alikiba inayotarajiwa kufungwa mwishoni mwa wiki hii huko Mombasa Kenya.Dully analalamika kutokana na ukweli kwamba taarifa hzio amekuwa akiziona katika mitandao wakati yeye ni moja kati ya watu muhimu sana katia mafanikio ya muziki wa Alikiba. Dully anasema kuwa yeye ni moja ya watu waliotambua kipaji cha alikiba kipindi ambacho hata alikuwa hajulikani  na kwamba alijitahidi hata kumtoa katika muziki lakini anashangaa kuona anapata taarifa katika mitandao na kupigiw...

ZINAZOENDANA

Ex Wa Ali Kiba Adai Na Yeye Anataka Kuolewa Nje Ya Nchi

14m ago

Msanii wa Bongo movie aliyegeukia sanaa ya Bongo fleva Sabrina Omary 'Sabby Angel' ambay...

Shilole Awataka Wasanii Wenzake Waolewe Ili Waache Kuzini Mwezi Huu Mtukufu

49m ago

Msanii wa Bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amewataka wasanii wenzake wa kike Kuolewa k...

H.Baba- Hakuna Msanii Wa Kushindana na Mziki Wangu

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva H.baba amefunguka na kudai mpaka hivi sasa hajaona bado msanii amb...

Billnas Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Jinsi Ali Kiba Alivyohusika

Mwanamuziki wa Bongo fleva Bill Nas amefunguka na kuweka wazi kwa nini alitangaza ndoa yake mapema mw...

Mwanangu Akitaka Kuwa Mwanamuziki Ruksaa-Madee Ali

Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka katika kundi la Tip Top Connection, Madee Ali amefunguka na kudai e...

Ben Paul ageukia kutunga mashairi muziki wa Injili

2h ago

MSANII  wa Bongo Fleva, Ben Paul ameweka wazi kwamba mbali na muziki wa kidunia anaofanya,  pia...

Mambo 8 Usiyoyajua Ndoa ya Kifalme ya Meghan na Prince Harry

  SI kipindi kirefu kimepita tangu watu wengi duniani wajiulize itakuwaje siku ya ndoa ya mwanad...

Shilole Achekelea Mfungo Ndani ya Ndoa

WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, staa wa muziki ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek