Wanaokuombea Mema Wako Wachache-Ujumbe Wa Makonda kwa Lulu.

By Ghafla Tanzania, 6d ago

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salam Paul Makonda amemuandikia ujumbe mzito msanii lulu michael katika siku ya kumbukumbu wa kuzaliwa amabyo kwa upande wak hatoweza kuisherekea kutokana na kuwepo gerezani akitumikia kifungo chale cha miaka miwili baada ya kukutwa na hukumua ya kuua bila kukusudia. Katika siku hii ambayo ndugu wa lulu waliamua kusherekea siku hiyo  wakitoa zawadi na misaada katika hospitali ya Muhimbili kama moja ya kumuombea msanii huyo , Paul Makonda aliamua kutuma ujumbe huo hata kama hatoweza kuuona kwa sasa ila unaweza kumfikia. kumbe wanaokuombea mema wako wachache ila wenye n...

ZINAZOENDANA

RC MAKONDA AZINDUA ZOEZI LA UTOAJI CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia sar...

RC MAKONDA AZINDUA ZOEZI LA UTOAJI CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia sar...

Zoezi la utoaji chanjo ya kuzia saratani ya mlango wa kizazi yazinduliwa

9h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani...

Waliokataa Wito wa Makonda Kufikishwa kwa Kamanda Mambosasa

12h ago

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewaonya wanaume waliokataa wito wa kuitwa kwao kuhusiana na malezi ya...

RC Makonda Kupima Tezi Dume Nyumba kwa Nyumba

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salam, Paul Makonda anatarajia kuanza Oparesheni maalum wa kupima tezi ...

RC Makonda azindua kampeni ya utoaji wa chanjo ya saratani ya kizazi Dar

12h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia sar...

Makonda sasa kuwapima wanaume saratani ya tezi dume nyumba kwa nyumba

14h ago

Wakati chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14 ikitarajiwa k...

Makonda Kupima Tezi Dume Nyumba kwa Nyumba kwa Lazima

14h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Paul Makonda, anatarajia kuanza mkakati maalum wa kupima tezi dume kwa l...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek