Majambazi Wenye Silaha za Moto Wavamia Kituo cha Mafuta na Kuiba Fedha za Mauzo

By Udaku Specially, 1w ago

Leo April 16, 2018 stor ninayokusogezea ni kuhusu Majambazi wapatao wanne wakiwa wamevalia makoti meusi na silaha za Moto wamevamia kituo cha Mafuta cha Manjis cha jijini Arusha na kufanikiwa kupora kiasi cha Milioni 2 fedha za mauzo.Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Yusufu Ilembo amesema kuwa   majambazi hao walifika eneo la tukio wakitembea kwa miguu na kuwalazimisha wafanyakazi waliokuwepo katika kituo hicho kulala chini huku wakifyatua risasi mbili hewani na kuelekea ndani ya ofisi zinapohifadhiwa fedha.

ZINAZOENDANA

MAJAMBAZI WANNE WAUAWA BAADA YA MAJIBIZANO YA RISASI NA POLISI KISARAWE-RPC SHANNA

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoani Pwani ambae pia ni mkuu wa Mkoa wa Pwani, mhandisi E...

POLISI WAUA MAJAMBAZI WANNE WAKATI WAKIJIBIZANA KWA RISASI MKOANI PWANI

5d ago

Na Mwamvua Mwinyi, KisaraweWATU wanne wanatuhumiwa kuwa majambazi wamefariki dunia baada ya kujibizan...

Polisi Yaua Majambazi Wanne Mkoani Pwani

Majambazi wanne wameuawa  na polisi asubuhi ya leo Ijumaa Aprili 20, wakati wakijaribu kupora Ki...

Polisi waua majambazi wanne Pwani

5d ago

Majambazi wanne wameuawa  na polisi asubuhi ya leo Ijumaa Aprili 20, wakati wakijaribu kupora Ki...

Majambazi wanne wauawa na polisi

5d ago

Walikuwa wakijaribu kupora hali iliyosababisha kurushiana risasi.

Majambazi Wenye Silaha za Moto Wavamia Kituo cha Mafuta na Kuiba Fedha za Mauzo

Leo April 16, 2018 stor ninayokusogezea ni kuhusu Majambazi wapatao wanne wakiwa wamevalia makoti meu...

OMBAOMBA: ZAO LA WAVUTA DAWA ZA KULEVYA, MAJAMBAZI

2w ago

Na KOMBA KAKOA NI mchana wa jua kali, katikati ya barabara ya Lumumba, anaonekana mtoto akihangaika k...

Mwanamke anayeshukiwa kushirikiana na wahalifu kutoka Tanzania ashtakiwa

2w ago

Mwanamke anayeshukiwa kushirikiana na majambazi kutoka nchini Tanzania ameshtakiwa Jumatano kwa kuwan...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek