Yanga Yawaongezea Mbinu Mbadala Safu Yake ya Ushambuliaji Kuwaua Waethiopia

By Udaku Specially, 7d ago

YANGA ni kama tayari imeshafuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya bechi la ufundi la timu hiyo, kuiboresha safu ya ushambuliaji kwa kuwaongezea mbinu mbadala za ushindi katika mechi dhidi ya Wolayta Dicha ya nchini Ethiopia.Yanga jana alfajiri ilisafiri kuelekea nchini humo kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa keshokutwa Jumatano saa kumi kamili jioni kwa saa za Tanzania.Katika msafara huo, wachezaji wote wamesafiri huku akikosekana kipa, Ramadhani Kabwili, Maka Edward, Said Mussa walio kwenye kikosi cha vijana wa timu ya taifa ya U20 na Ibrahim Ajibu mwenye majeraha.Akizu...

ZINAZOENDANA

Simba Yajichimbia Moro kwa Maandalizi Dhidi ya Yanga

40m ago

Kikosi cha Simba kinaanza maandalizi yake rasmi leo kwa ajili ya mchezo dhidi ya watani wake wa jad...

Mbeya City Yakataa Kufungwa Kwao Yagawana Point na Yanga

40m ago

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga, wamebanwa mbavu ugenini na Mbeya...

Makocha kuhusu wachezaji wa Mbeya City kuzidi uwanjani

8h ago

Kizaazaa kiliibuka kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga baada ya benchi la ufu...

Yanga imepoteza pointi mbili Mbeya

10h ago

Mbeya City ikiwa na wachezaji 10 uwanjani imeilazimisha Yanga sare ya kufungana 1-1 katika mchezo wa ...

Matumaini ya Yanga Kutetea Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara yazidi kuwa Haba

13h ago

MATUMAINI ya Yanga SC kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara yamezidi kuwa haba baad...

MWAKA WA MATESO KWA YANGA,YABANWA MBAVU UWANJA WA SOKOINE MBEYA NA KUIACHIA SIMBA MBIO ZA UBINGWA

Mchezo pekee wa Ligi Kuu Bara leo Jumapili umemalizika katika Uwanja wa Sokoine Mbeya baina ya Mbeya ...

Haji Manara asimulia alivyokutana na Masogange Afrika Kusini, Akiri kuwa anadaiwa (+video)

17h ago

Msemaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesimulia mara yake ya kwanza kukutana na marehemu Agnes...

Yanga yampangia Mdoli chumba!

19h ago

UNAWEZA ukachukulia poa vibwanga na vibweka vya mashabiki au vikundi kibao vya soka la Bongo, ila sio...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek