Meneja wa Kitengo cha Hahari (MPRU) Atumbuliwa Kisa Hiki Hapa

By Udaku Specially, 1w ago

Waziri wa  Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amemsimamisha kazi Meneja wa kitengo cha bahari na maeneo tengefu (MPRU) Dr Milali Machumu kwa kushindwa kusimamia ipasavyo kitengo hicho. Pamoja na kusimamishwa Mpina ameagiza achunguzwe. Maamuzi hayo yamekuja kufuatia taarifa ya ukaguzi wa ufanisi katika usimamizi wa hifadhi za bahari na maeneo tengefu kubainisha madhaifu.Waziri Mpina amesema...>>>'€œKwa mamlaka niliyonayo kulingana na sheria ya kitengo cha hifadhi za bahari na maeneo tengefu, Namba 29 ya mwaka 1994 nanatoa maelekezo yafuatayo'€Namsimamisha kazi Meneja wa kit...

ZINAZOENDANA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

10m ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege...

Meli kubwa zaidi yatia nanga bandari ya Dar es salaam,Ni mara ya kwanza kufuatia upanuzi wa kina na lango bahari ya Hindi

14m ago

Meli kubwa yenye urefu wa mita 264. 3 imetia nanga kwa mara ya kwanza kwa majaribio katika bandari ya...

Kichuya: Nitawalaza mapema tu

16m ago

KAMA kuna mchezaji wa Simba ambaye Yanga watakuwa na shughuli naye nzito basi ni winga, Shiza Kichuya...

RAIS DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

18m ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana...

Mashabiki AS Roma mbaroni England

20m ago

Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield ilishinda mabao 5-2 katika mchezo wa nusu fainali y...

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM - Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizar...

Makonda azua gumzo bungeni

27m ago

Na Editha Majura, Dodoma Ushawishi wa wabunge wa kutaka Bunge na Serikali, kumchukulia hatua Mkuu wa ...

Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli

28m ago

Mange Kimambi, mwanamitindo aliyabadilika kuwa mwanaharakati wa siasa na anaaminiwa kuwa ndio chanzo ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek