Hizi Hapa Hesabu za Kichuya Kwa Yanga, Tanzania Prisons

By Udaku Specially, 1w ago

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya, amesema matokeo ya mechi yao dhidi ya Tanzania Prisons leo Jumatatu, ndiyo yataamua ubingwa wao Bara huku wakimaliza kazi dhidi ya watani wao Yanga.Simba inatarajia kuku­tana na Prisons leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.Simba ambayo inaon­goza msimamo wa ligi kwa kuwa na pointi 55, kama ikishinda leo itaku­wa imeiacha Yanga kwa tofauti ya pointi 11 lakini Yanga ikiwa na michezo miwili mkononi.Akizungumza na Championi Jumatatu, Kichuya alisema kuwa mechi yao na Prisons ndiyo itakayoamua ubingwa wa Simba kwa...

ZINAZOENDANA

Kichuya: Nitawalaza mapema tu

20m ago

KAMA kuna mchezaji wa Simba ambaye Yanga watakuwa na shughuli naye nzito basi ni winga, Shiza Kichuya...

Mashabiki AS Roma mbaroni England

24m ago

Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield ilishinda mabao 5-2 katika mchezo wa nusu fainali y...

Niyonzima kuikosa Yanga

3h ago

KIUNGO wa Simba Mnyarwanda Haruna Niyonzima 'Fabregas'  huenda akaukosa mchezo wao wa Aprili 29 dh...

Mechi Kubwa kama Simb, Yanga Uchawi Lazima

Leo April 25, 2018 kuna hii ya kuifahamu kuhusu Imani za kishirikina (Uchawi) ambapo ni miongoni mwa ...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa ...

Kocha Mcongo wa Yanga aanza mambo Moro

4h ago

Uongozi wa Yanga umethibitisha kwamba kocha huyo atakuwa na wachezaji wake leo Jumatano jioni katika ...

Niyonzima kuikosa Yanga

4h ago

Simba na Yanga zinacheza wikiendi hii ambapo kama Niyonzima ataondoka kuna uwezekano mkubwa wa kuukos...

Chirwa, Tshishimbi wamaliza utata Morogoro

6h ago

Yanga inafanya mazoezi  katika Uwanja wa Highland uliopo nje kidogo ya Mji wa Morogoro, lakini wap...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek